Matumizi mabaya ya moto...
Kuna mmea Wa bangi hapo
Usiwalaumu Luis Figo aliwahi kurushiwa kichwa cha nguruwe ¡!!!Mboni hawakuchoma jezi ya Mrisho NGASA alipochezea Simba sc.
Hata hivyo Niyonzima bado hajasaini Simba sc.
Jazba ya nini ?
Simba nao wachane jezi ya Ajibu ?
Luis Figo alishawahi cheza Real Madrid na Barcelona fc.
Washabiki wa Yanga fc hawana uvumilivu ktk fikra za soka la Yanga.
Huu mchezo hauhitaji hasira.
Halafu ujue ni kweliNi mapumbafu hayo...
Ukishavaa njano na kijani we unakuwa pumbufuu...