PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

pamoja sana mama mti unaopigwa mawe ndo wenye matunda
 
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa
 
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa

Yote sawa! Lakini watu si wanajaa kumsikiliza? Cha muhimu tupate kura!

Nyie mnawatumia worthless chickens kina Wema, Sitti, Aunt Ezekieli nk ... Watu wasio na manners zozote, CCM kweli mmefiliska.
 
kama kigezo chako ni bora watu wanajaaaa.....basi sioni sababu ya kuwaita wakina wema worthless mana wao pia wanajaza watu tena watu wengi ikuliko mama lowasa
 
mama lowasa karibu sana songea.naomba usisahau kwenda namtumbo, mbinga na hata nyasa. watu wanahamu sana na mabadiliko...
 
Chakii tutafutane na mimi niko hapa hapa Songea.

mkuu Upo pande zipi? Mimi nipo Bombambili. huku Huyu mama kafanya kufuru ya ajabu. hii nyomi utadhani makoleo ndiyo anahutubia. yaani ni shidaaa. mods plzz fungueni picha nilizopandisha.
 
mkuu Upo pande zipi? Mimi nipo Bombambili. huku Huyu mama kafanya kufuru ya ajabu. hii nyomi utadhani makoleo ndiyo anahutubia. yaani ni shidaaa. mods plzz fungueni picha nilizopandisha.

mkuu alikuwa maeneo gani hapo songea?
 
hahahaaaahahaahhaha saiv baaada ya babu duni kugoma kufanya kampeni mmeona mumtumiee mama lowasa

Babu Duni kagoma????? Mtasubiri sana! Kawaulize wana Kigoma, jinsi jana 14.10, Duni alivyofanya siasa babu kubwa katika Mkoa mzima wa Kigoma, kuanzia Kakonko hadi Ujiji!!!!!!!
 
Lowasa out!!!!!!
 
Our next First Lady...

We love you sanaaa...👏👏✌✌🙌🙌
 
mama lowasa karibu sana songea.naomba usisahau kwenda namtumbo, mbinga na hata nyasa. watu wanahamu sana na mabadiliko...

mkuu hapitwi mtu. huko kote atapita kamanda wangu
 
Mama Regina lowasa ndie mgombea mwenza wa ukawa!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…