Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
View attachment 276131red brigade wakiwa kaziniView attachment 276132airport kukiwa full

IMG-20150814-WA0015.jpg IMG-20150814-WA0016.jpg IMG-20150814-WA0017.jpg IMG-20150814-WA0018.jpg

hatari tupu watu ni wengi sana kwa hakika mbeya inazizima leoo 11141303_867202579994981_2240698811362823358_n.jpg 11225276_895281800564842_4989354877730386457_n.jpg 11180623_846793325406068_243806141538606826_n.jpg View attachment 276256 11903793_10203565437776888_3409798732472190279_n.jpg 11905395_10203565437016869_2057379342475825480_n.jpg
 

Attachments

  • IMG-20150814-WA0021.jpg
    IMG-20150814-WA0021.jpg
    84.3 KB · Views: 4,064
Picha zingine zinakuja kwa wingi tunaweka mambo sawa
 
hakika hakuna anayeweza kuzuia volcano kulipuka!!! Matumaini makubwa ya wananchi
yapo ukawa. Rai yangu, waacheni wananchi waamue na sio kufanyiWa maamuzi na kundi la wachache!
Na hiyo ndiyo demokrasia ya kweli!! Tunataka mabaliko. Period!
 
lowasa hajapanda hata ndege dar ila huku ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaa...watu nyomiiiiiii
 
Hivi endapo ukawa watashika dola, hiyo red brigade ya CHADEMA ndo itakufa au watakuwa na majukumu gani?
 
ccm wakishinda mwaka huu kwel ntaamini kuwa uchawi. wizi, na miujiza ya mungu wa lumumba na tutaingia kwenye record ya dunia kuwa nchi inayoongoza kwa wizi tena wa kitoto wa kura
 
Back
Top Bottom