PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
kwa wale walioko maeneo mbalimbali ya Arusha tuweke picha za matukio mbalimbali kuhusiana na mapokezi ya kamanda Godbless Lema.


inasemekana hili ndilo gari la wazi atakalopanda kamanda Lema


makamanda wa boda boda maeneo ya philips wakijiandaa kuelekea KIA(hata wanyama kama mbwa wametaharuki)



makamanda mbalimbali wakijiandaa na maandalizi!!


more pics to come....!



jembe letu limerudi jembe letu limerudi!!sio maneno yangu haya jamani....


hapa ni Tengeru.....






hapo chini msafara umeingia katikati ya jiji...kama alivyotuletea Crashwise









hapa kamanda lema akisindikizwa kuelekea mapumzikoni!!sherehe zitaendelea mpaka asubuhi!
 

Attachments

  • 025.jpg
    101.9 KB · Views: 1,681
  • 023.jpg
    103.2 KB · Views: 1,566
  • SAM_0566.JPG
    76.2 KB · Views: 11,596
  • SAM_0567.JPG
    71 KB · Views: 11,360
  • SAM_0565.JPG
    66.2 KB · Views: 11,275
  • SAM_0611.JPG
    49 KB · Views: 10,935
  • SAM_0586.JPG
    66 KB · Views: 10,664
  • barabara_arusha.jpg
    55.9 KB · Views: 10,803
Peoples power.............safi sana kamanda wetu hakika bwana amefanyaaa hatuna budi kumshukuru yeye aliye Juu au sio wadau wa arusha Viva CDM....
 
Pamoja sana ila usije ukaondoka ili nitakapokuwa naweka picha uwe unazi update kwenye thread maana ngoma ya leo ni mpaka jioni...

hamna noma mkuu kwa sasa niko nyuma ya keyboard lakini nitaenda kwenye field kuchukua matukio.i hope mods watasaidia katika updating....natanamani kupata picha za makamanda walioko Tengeru, Usa na Kia.
 
Reactions: Paw
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.
 
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.

uliyoyaandika ndio yameujaza moyo wako, na marafiki zako wanafanana nawe!
umejieleza bila kujua kuwa magamba hukodi boda boda.
 
Sipati picha Lema akifika soko kuu hali itakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mapokezi yataanzia wapi jamani tukajitokeze kumpokea KAMANDA?

mkuu watu wameenda KIA na wengine tuko kwenye maskani mbalimbali za CDM.hakika ni jumamosi tamu mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…