PICHA - Mapenzi Yanaua..

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,108
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4916402.jpg

</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
Wahenga hawakukosea waliposema mapenzi yanaua, mwanamke mmoja wa nchini Uturuki amenusurika kufariki baada ya kujaribu kujiua kwa kujirusha toka ghorofa ya nne baada ya mpenzi wake aliyetaka kufunga naye ndoa kuamua kumchukua mwanamke mwingine.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Pinar G. mwenye umri wa miaka 20, mkazi wa mji wa Bursa aliamua kujirusha toka ghorofa ya nne baada ya kugundua mpenzi wake ana mpenzi mwingine.

Taarifa zilisema kuwa Pinar na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Cemil C. walikuwa kwenye mipango ya kuoana hivi karibuni.

Lakini wakati siku ya harusi ikikaribia, Cemil alimtosa Pinar na kuamua kumvalisha pete ya uchumba mwanamke mwingine.

Kutokana na uchungu wa kumkosa mpenzi wake, Pinar aliamua kujiua kwa kujirusha toka ghorofa ya nne.

Pamoja na jitihada za zimamoto na polisi kumshawishi Pinar asijirushe toka ghorofani, Pinar aliamua kuhitimisha maisha yake duniani kwa kujirusha toka ghorofa ya nne.

Bahati nzuri kwake, zimamoto walikuwa wameishalitandaza boya kubwa chini ili kunusuru maisha yake. Pinar aliangukia kwenye boya hilo na maisha yake yakawa yamenusurika.

Tukio hilo zima lilinaswa na vyombo vya habari na chini ni picha za kujirusha kwa mwanamke huyo.


</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
1094.jpg


1092.jpg



1093.jpg



1090.jpg



1089.jpg

Chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.

Pinar G njoo kwangu mimi nitakuowa kama kweli hakutaki Mchumba wako Cemil C. kwanini ujiuwe?


</td></tr></tbody></table>
 
Hii itakuwa filamu - kwenye DVD au Blue ray kuna scene inayoonyesha jinsi walivyokuwa wakijipanga na kuigiza katika hali kama hizo za kuruka kutoka ghorofani!
 
Hii itakuwa filamu - kwenye DVD au Blue ray kuna scene inayoonyesha jinsi walivyokuwa wakijipanga na kuigiza katika hali kama hizo za kuruka kutoka ghorofani!

Hiyo script ya flim hakuna kutaka kujiua wewe tazama walivyojiandaa!!
 
Hii itakuwa filamu - kwenye DVD au Blue ray kuna scene inayoonyesha jinsi walivyokuwa wakijipanga na kuigiza katika hali kama hizo za kuruka kutoka ghorofani!

Leather Weapon kama sikosei part one or two ya Mel gibson
 
wanaume wote hawa jamani!!!!!!!!!!!!!!!!1111 au Mungu alikuambia hupati mwingine? ukijiua ndo unamzuia kumwoa huyo mwingine?
 
Mapenzi yanaua kweli acheni tu!
lakini kujiua pia ni kukata tamaa.kikubwa ni kuwa jasiri yanapokukuta kwani hakuna maumivu ya milele.kuna mtu wangu wa karibu aliachwa na mpenzi wake wa muda mrefu kimya kimya wakiwa mikoa tofauti kikazi jamaa anapiga simu kila siku...i love u....i miss you ..good morning na good night!kumbe jamaa kashalipa mahari sehemu...bibie kajua siku 2 kabla ya harusi...alilazwa hosp wiki nzima hajijui hajitambui...alipotoka hosp na kuamua kuanza maisha mapya hataki ata kusika neno mwanaume duniani
 
Hii itakuwa filamu - kwenye DVD au Blue ray kuna scene inayoonyesha jinsi walivyokuwa wakijipanga na kuigiza katika hali kama hizo za kuruka kutoka ghorofani!

kweli mapenzi yaua,ila hii kama uigazaji filamu!

Huu ni mchezo wa kuigiza tu.

Hakuna cha Kuigiza Film wala Sinema hii ilitokea kweli hebu bonyeza hapa usome Google Translate


-Bu Habere Ait Videolar


<object type="application/x-shockwave-flash" data="/resim/videoplay.swf?videokod=/video/2010/09/03/olume-atladi-beyaztv.html" height="60" width="60">



</object>
Ölüme Atlad&#305;


<object type="application/x-shockwave-flash" data="/resim/videoplay.swf?videokod=/video/2010/09/03/nisanlisi-terk-edince-star.html" height="60" width="60">



</object>
Ni&#351;anl&#305;s&#305; Terk Edince...


<object type="application/x-shockwave-flash" data="/resim/videoplay.swf?videokod=/video/2010/09/03/olume-boyle-atladi-kanalturk.html" height="60" width="60">



</object>


Hiyo script ya flim hakuna kutaka kujiua wewe tazama walivyojiandaa!!

Haya bado Semeni picha ya kuigiza hiyoooooooooooo

Source: Google Translate
 
Back
Top Bottom