Mama Regina.... i pray always uwe our FIRST LADY..wewe ni MAMA HASWAAAA
We feel so proud kwako...MUNGU AKULINDE DAIMA...
Tukipata FIRST LADY wa HIVI hata RAIS anawaza vizuri na kushughulikia matatizo mengi ya wananchi...!!!
Aiseeeeee, anamsaidia mumewe.... daaah...!!!
Kweli kuna wanawake WANAJITAMBUA MNOOO...!!!
Hivi MKE wa MAGUFULI YUKOJE.... ni mweupe, mzungu, mchina, mweusi, chotara, mfupi mrefu, nimesikia ni Mwalimu ila hajui kabisa maisha, pia nasikia WANA MGOGORO hawaivi...
REGINA ni MAMA WA WATANZANIA wote...!!!