PICHA: Mama Regina Lowassa Atua Kwa Kishindo Jijini Mbeya

PICHA: Mama Regina Lowassa Atua Kwa Kishindo Jijini Mbeya

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,820
Reaction score
29,495
Mama Regina Lowassa akiwa njiani kuelekea Mbeya, amekutana na baadhi ya makundi ya watu yakimsubiri njiani hali iyompelekea kusimama katika jimbo la Chimala ambalo ni jimbo la Mbarali na kutumia dakika tano kuongea na wananchi hao.


Mama Regina Lowassa atakuwa Mbeya kuwaombea kura wagombea wote wa UKAWA kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na Urais kwa Bw Edward Ngoyai Lowassa kupitia CHADEMA na Umoja wa Ukawa.

Viva mabadiliko [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]


uploadfromtaptalk1445080263519.jpg


uploadfromtaptalk1445080337631.jpg
 
Mama Regina Lowasa amekuwa mwanamke mfano wa kuigwa hakika huyo ndo anafaa kuwa fistlady wetu mtarajiwa.
Mke wa Magufuli yuko wapi?????
 
Mama Regina Lowasa amekuwa mwanamke mfano wa kuigwa hakika huyo ndo anafaa kuwa fistlady wetu mtarajiwa.
Mke wa Magufuli yuko wapi?????

Mke wa Magufuli yupo gym anajifunza kupiga push up!
 
Mama yetu huyoooooo....

Safiiii sanaaaaa...!!👏👏👏✌✌✌
 
Ili neno siku izi latumika sivyo.
Kishindo kipi sasa
 
ungana na mwenzako kuwa katika lile kundi la " wapumbavu na malofa " lililotajwa na mzee wetu mkapa.

Nami naungana naye "mama yetu" ila mkapa ni mzee wako wewe. Usishangae na mimi nimekuiga kumuandika kwa herufi ndogo huyo mzee wako. Umuhimu wa Elimu, Elimu, Elimu unakuhusu.
 
Back
Top Bottom