Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mke wa Mgombea Urais kupitia umoja wa UKAWA Mama Regina Lowassa akiwa katika mikutano ya kuongea na akina mama Kata ya Ndungu katika Jimbo la Same Mashariki na kumaliza mkutano mwingine jioni hii.

Kwenye viwanja vya Uhuru Peak ndani ya Manispaa ya Moshi mjini.

Regina Lowassa, leo kafanya zaidi ya mikutano 5 sehemu mbalimbali.
 

Attachments

  • 1444239657688.jpg
    1444239657688.jpg
    60.9 KB · Views: 3,847
  • 1444239671727.jpg
    1444239671727.jpg
    58.6 KB · Views: 3,414
  • 1444239685757.jpg
    1444239685757.jpg
    75.9 KB · Views: 3,427
  • 1444239700867.jpg
    1444239700867.jpg
    60.1 KB · Views: 3,347
  • 1444239713129.jpg
    1444239713129.jpg
    86.4 KB · Views: 3,369
  • 1444239725717.jpg
    1444239725717.jpg
    92.6 KB · Views: 2,825
Mke wa mgombea Urais kupitia umoja wa Ukawa Mama Regina Lowassa akiwa katika mikutano ya kuongea na akina mama Kata ya Ndungu katika jimbo la same mashariki na kumaliza mkutano mwingine jioni hii
Kwenye viwanja vya Uhuru Peak ndani ya Manispaa ya moshi mjini.

Regina Lowassa, leo kafanya zaidi ya mikutano 5 sehemu mbalimbali....
Kila laheri First Lady
 
huyu mama nae kihelehele utafikiri na yy ni mgombea mwenza, atulie nyumbani alee watoto amwache mroho wa kupiga ma deal akoge maji alovulia nguo.
 
Hongera mama Lowassa wewe ni hodari na shujaa katika kutafuta mabadiliko.Hakika Mungu akiwa upande wa mabadiliko

hakuna wakuzuia
 
Nilitaka kushangaa siku inaisha sijasikia first lady wetu yupo maeneo gani, hakika huyu mama amekuwa kivutio na mfano wa kuigwa kwa wakina mama linapokuja suala la kumsupport mume.........wapi mama Magufuli??!!!!!!
 
huyu mama nae kihelehele utafikiri na yy ni mgombea mwenza, atulie nyumbani alee watoto amwache mroho wa kupiga ma deal akoge maji alovulia nguo.

Inakuuma kwa sababu Mama Wine kagoma kufanya kampeni
 
Ebu acheni ujinga uzuri kwa mumewe we unakusaidia nini,mnakua km mibwabwa,au mipunga nyie?
 
Back
Top Bottom