Picha: Mama R. Lowassa akiwa kata ya Kalenga

Picha: Mama R. Lowassa akiwa kata ya Kalenga

Mama Lowassa! Hii sasa misifa mama! Nasikia mama wa upande wa pili alipo panda jukwaani kule Chato, kanywea baada ya kuona speed yako ya 120 Mph.

Hongera sana mama.

Hii ni zaidi ya mara elfu moja ya wasanii wa KUSTUKA, hakuna impact yeyote wanayoleta kwa kukata mauno kwenye majukwaa ya CCM. Kweli ccm imekosa dira, inatumia wasanii kusaka ushindi
 
Ndo umesema nini sasa cleverbright?mbona ni kama haujielewi elewi vile?embu isome tena hiyo post yako vizuri
 
Mkutano wa Mama Regina Lowassa akiongea na akina mama wa Iringa vijijini katika Kata ya Kalenga...

Regina sio kiongozi, hana cheo chochote cha uongozi katika chadema.
Ni mke wa Lowassa tu.

Sasa kawafunika makamanda wengi na wake zao katika hizi kampeni.

Wapi Mke wa Mbowe.

Wapi Mke wa Mbatia.

Wapi Mke wa Sumaye.

Wapi Mke wa Babu Duni.

Wapi Mke wa Lissu.

Wapi Mke wa Kamanda Lema.

Sijui niendelee....?
 
Regina sio kiongozi, hana cheo chochote cha uongozi katika chadema.
Ni mke wa Lowassa tu.

Sasa kawafunika makamanda wengi na wake zao katika hizi kampeni.

Wapi Mke wa Mbowe.

Wapi Mke wa Mbatia.

Wapi Mke wa Sumaye.

Wapi Mke wa Babu Duni.

Wapi Mke wa Lissu.

Wapi Mke wa Kamanda Lema.

Sijui niendelee....?

mke wa baba ako je? ELIM ELIM ELIM
 
huko kuhangaika na kutangatanga hovyo bila kujitafakari ndiyo kuwa kiboko mkuu? vitu vingine huhitaji hata kuwa na phd kujua kuwa hakiwezekani ila tuendelee tu kujipa kama siyo kujitia moyo. siasa za tanzania zinahitaji uwe na jicho la ndege aina ya tai kuweza kuzielewa vizuri la sivyo utabaki tu kutokwa na mipovu huku ukibishana hovyo na watu katika daladala na vijiweni huku umasikini wako ukipiga tu mark time na hali yako ya kimaisha kuzidi kudidimia huku wale unaowashabikia kwa mihemko wao wakila tu raha zao ulaya na sehemu mbali mbali za dunia.

Looh shule za kata majanga!!! Sentesi yako ndefu mno na hivyo hueleweki, ikate vipande vitatu ili ueleweke!! Kama huwezi omba usaidiwe!!
 
Pumba pumba rubbish mkojo

ila ningesifia unakokutaka wewe sidhani kama hizo pumba, rubbish na mikojo yangu ingeonekana. kwa hizi siasa za kutotaka kusikia ukweli wa kiuhalisia na badala yake kupenda kuendeshwa na siasa za mihemuko na za msimu sidhani kama zitatufikisha kule ambako tunakutaka watanzania. wenzetu waliotuletea hizi siasa za vyama vingi wana utaratibu mzuri tu wa kuheshimu mawazo ya mpinzani hata kama huyapendi na ukitaka kuyajibu basi shurti yajibu kwa hoja na siyo jazba au matusi. kila mtu humu akitaka kutukana anavyojua yeye hii forum itaheshimika kweli? wakati wa kampeni za urais wa marekani obama alizikataa kata kata sera za health insurance za mpinzani wako john mcain lakini baada ya kukaa madarakani na kuitafakari upya obama alipoingia madarakani mara ya pili aliikubali na sasa inatumika tena kisheria rasmi nchini marekani na hakuishia tu hapo bali japo walikuwa na bado ni wapinzani kisiasa lakini bado rais obama aliweza kusifu na kutambua mchango wa mwenzake. tofauti kubwa ya nchi zilizotuacha kwa kila nyanja weyewe nchi kwanza na siasa baadae ila hapa tanzania mtu na si chama kwanza na nchi yetu baadae. tuna safari ndefu mno kama mawazo ya wanaojiita wasomi ni haya ya matusi. kwa style hii acheni tu wakenya, waganda na wanyarwanda watutawale na watuzidi.
 
Hii ni zaidi ya mara elfu moja ya wasanii wa KUSTUKA, hakuna impact yeyote wanayoleta kwa kukata mauno kwenye majukwaa ya CCM. Kweli ccm imekosa dira, inatumia wasanii kusaka ushindi

Kamanda!

Sio wasanii tu. Pia kule Ilala kuna mijimama ina makalio utafikiri yanakalia hamira usiku kucha. Sijui CCM wana yakodisha kutoka wapi?
 
Ndo umesema nini sasa cleverbright?mbona ni kama haujielewi elewi vile?embu isome tena hiyo post yako vizuri

hata mashuleni siyo wote ambao humwelewa mwalimu na kufaulu na badala yake hufeli kwa ujinga na upumbavu wao. jitathmini utajua wewe upo kundi gani hapo. na ndiyo maana nikawa mr. cleverbright na wewe sijui lekakui ptuuuuuu!!!!
 
Mama Lowassa! Hii sasa misifa mama! Nasikia mama wa upande wa pili alipo panda jukwaani kule Chato, kanywea baada ya kuona speed yako ya 120 Mph.

Hongera sana mama.

Aisee huyu mama kiboko

Hili jembe

Wapi Sindu ********?! Na Janeth ******** je?!!

Huyu mama Regina anasitahili kuwa First lady,yupo so humble na mchapa kazi,hana makuu kama yule Mama Mkwere anayefaa nguo lundo,Mama Regina yupo very simple but attractive na hata kwa muonekano wa taswira yake tu unaona alivyo na roho nzuri na nyeupe!!!

uyu mama ana nguvu kuliko magufuli..maana hapo diamond hayupo,

Regina ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wa Africa

Viva mwanamke nambari wani.

Ni zaidi ya kiboko aisee.

Mama anayejitambua

Hongera mama

kweli mabadiliko yameleta mambo meng yasiyotarajiwa.

Ni mamba kabisa asee

Oyoooooooooo

Aiseeeee mbona mbio sana

Huyu mama anawanyofoa ccm go.vi bila hata ya ganzi.

Mama Regna anapga kazi balaa.
Viva ukawa viva

Heko mama lowasa.
Ushindi lazima.

Huyu ndiye first lady wetu.
 

Looh shule za kata majanga!!! Sentesi yako ndefu mno na hivyo hueleweki, ikate vipande vitatu ili ueleweke!! Kama huwezi omba usaidiwe!!

na wewe rudi katika unyago huko kwenu ukakeketwe upya kwani hiyo filimbi yako uliyoitunza mkabala na mwisho wa mapaja yako hayo mawili ni ndefu sana. kama huwezi kuipunguza sema usaidiwe!!
 
Regina sio kiongozi, hana cheo chochote cha uongozi katika chadema.
Ni mke wa Lowassa tu.

Sasa kawafunika makamanda wengi na wake zao katika hizi kampeni.

Wapi Mke wa Mbowe.

Wapi Mke wa Mbatia.

Wapi Mke wa Sumaye.

Wapi Mke wa Babu Duni.

Wapi Mke wa Lissu.

Wapi Mke wa Kamanda Lema.

Sijui niendelee....?

mke wako yupo wapi? na Wa babayo vp?
 
mke wa baba ako je? ELIM ELIM ELIM

Kamanda mbona tunapungua staha? Ukomavu wako uko wapi?
Ndo mabadiliko unayaleta kwa style hii??

Baba yangu si kiongozi wa ukawa.
Mambo yake na mkewe hayaihusu hii mada. Na hivyo baba yangu na mkewe hawajazidiwa ujasiri na ujuzi wa kambani na Mrs. Lowassa.

Kweli wewe unahitahi Elimu, Elimu na Elimu tena.

Yaaani hata kuiandika tu hiyo Elimu huwezi, sasa sijui hizi fikra ndo wazileta hapa.
 
Back
Top Bottom