Picha: Mama R. Lowassa akiwa kata ya Kalenga

huko kuhangaika na kutangatanga hovyo bila kujitafakari ndiyo kuwa kiboko mkuu? vitu vingine huhitaji hata kuwa na phd kujua kuwa hakiwezekani ila tuendelee tu kujipa kama siyo kujitia moyo. siasa za tanzania zinahitaji uwe na jicho la ndege aina ya tai kuweza kuzielewa vizuri la sivyo utabaki tu kutokwa na mipovu huku ukibishana hovyo na watu katika daladala na vijiweni huku umasikini wako ukipiga tu mark time na hali yako ya kimaisha kuzidi kudidimia huku wale unaowashabikia kwa mihemko wao wakila tu raha zao ulaya na sehemu mbali mbali za dunia.

Kwa hiyo Unamaanisha nini labda.
 
Hili kundi hapa hata wazo la kuoa linaweza kuingia akilini
View attachment 298739
Lakini ukikutana na mmama wa aina hii na ukagusiwa swala la ndoa unaweza kuchapa mwendo usijue hata unaelekea wapi.
View attachment 298741

attachment.php

Lazima likitoka hapo litakuwa linanuka huko Makongorosi.
 
huko kuhangaika na kutangatanga hovyo bila kujitafakari ndiyo kuwa kiboko mkuu? vitu vingine huhitaji hata kuwa na phd kujua kuwa hakiwezekani ila tuendelee tu kujipa kama siyo kujitia moyo. siasa za tanzania zinahitaji uwe na jicho la ndege aina ya tai kuweza kuzielewa vizuri la sivyo utabaki tu kutokwa na mipovu huku ukibishana hovyo na watu katika daladala na vijiweni huku umasikini wako ukipiga tu mark time na hali yako ya kimaisha kuzidi kudidimia huku wale unaowashabikia kwa mihemko wao wakila tu raha zao ulaya na sehemu mbali mbali za dunia.

??????Mbona kama unalia mkuu:-D:-D
 
Mkutano wa Mama Regina Lowassa akiongea na akina mama wa Iringa vijijini katika Kata ya Kalenga...

huko kuhangaika na kutangatanga hovyo bila kujitafakari ndiyo kuwa kiboko mkuu? vitu vingine huhitaji hata kuwa na phd kujua kuwa hakiwezekani ila tuendelee tu kujipa kama siyo kujitia moyo. siasa za tanzania zinahitaji uwe na jicho la ndege aina ya tai kuweza kuzielewa vizuri la sivyo utabaki tu kutokwa na mipovu huku ukibishana hovyo na watu katika daladala na vijiweni huku umasikini wako ukipiga tu mark time na hali yako ya kimaisha kuzidi kudidimia huku wale unaowashabikia kwa mihemko wao wakila tu raha zao ulaya na sehemu mbali mbali za dunia.

Itazame akili yako kwanza inawezakua imefika mwisho wakufikil wala sioni ajabu kwako kuwaza chini ya kiwango
 
Back
Top Bottom