Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Mkutano wa Mama Regina Lowassa akiongea na akina mama wa Iringa vijijini katika Kata ya Kalenga...
Aisee huyu mama kiboko
Aisee huyu mama kiboko
Hili jembe
Ni zaidi ya kiboko aisee.
Pumba pumba rubbish mkojohuko kuhangaika na kutangatanga hovyo bila kujitafakari ndiyo kuwa kiboko mkuu? vitu vingine huhitaji hata kuwa na phd kujua kuwa hakiwezekani ila tuendelee tu kujipa kama siyo kujitia moyo. siasa za tanzania zinahitaji uwe na jicho la ndege aina ya tai kuweza kuzielewa vizuri la sivyo utabaki tu kutokwa na mipovu huku ukibishana hovyo na watu katika daladala na vijiweni huku umasikini wako ukipiga tu mark time na hali yako ya kimaisha kuzidi kudidimia huku wale unaowashabikia kwa mihemko wao wakila tu raha zao ulaya na sehemu mbali mbali za dunia.