Picha: Mama pinda ala nondozzzz

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
SUNDAY, OCTOBER 28, 2012


Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akisubiri kula Nondozzz jana kwenye mahafali ya Chuo Kikuu Huria Kibaha. Mama Pinda nawasihi wanawake wote wajiendeleze bila kujali wako kwenye nafasi ipi kwani elimu haina mwisho. "Umuhimu wa elimu hauangalii kama wewe ni mke wa kiongozi au la, elimu inawahusu watu wote!," alisema.

Alisema mahafali hayo yamempa hamasa ya kusoma tena zaidi na zaidi kwani ameona wahitimu wengine wakipata shahada za juu zaidi. "Nimeona wenzagu wakipokea Ph.D zao nikasema mimi nina Bachelor tu, hapana. Lazima niende mbele zaidi, Mama Tunu Pinda amefuzu nakupata shahada ya Uongozi wa biashara na biashara ya kimataifa (BBA_INTERNATIONAL BUSINESS) katika chuo kikuu huria Tanzania ambayo mahafali yake yamefanyika jana katika makao makuu ya yachuo hicho mkoni pwani

Mama Pinda akiwa na mhitimu mwingine aliyejulikana kwa jina moja tu la Flora

Mama pinda na wahitimu wenzie

Mama Pinda akipokea shada la maua toka kwa Mai Hazbendi wake Waziri Mkuu Mizengo Pinda


SUNDAY, OCTOBER 28, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG









 

Tafadhali Mniambie hakwenda kule Mh. MUHUGO alikokwenda kubeba DEGREE yake anayoipepeta WIZARA ya ELIMU
 
Liwalo na liwe, ndio maana PM akawa mgenin Rasmi, kweli serikali ya kishkaji na sasa vyuo vimekuwa vya kishkaji... Elimu inaenda wapi? kumbe ni show off?
 
kwanini mama tunu pinda ni kijana kuliko pinda au ni mke wa pili?
 
mkoni pwani ni wapi tena huko? na ndiyo makao makuu ya OUT?
Na hapa ni wapi?

Contact Us

General Address:
The Open University of Tanzania,
Kawawa Road, Kinondoni Municipality,
P.O. Box 23409,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Fax:
+255 (0) 22-2668759.
Telephone:
+255 (0) 22-2668992,
+255 (0) 22-2668835,
+255 (0) 22-2668445,
+255 (0) 22-2668960.

E-mail:
vc@out.ac.tz,
dvc-ac@out.ac.tz,
dvc-rm@out.ac.tz.

Website:
Welcome to the Open University of Tanzania
 
Hongera Petronela Pinda (zamani Tunu Pinda kabla ya kumfuata Kristu)
 
  • Thanks
Reactions: awp
Du na mimi ngoja nikajiandikishe chuo kikuu huria maana masoma ya huko yatakuwa marahisi sana.Mbona namuona huyu mama kila siku yupo na mzee kwenye ziara sasa muda wa kubukua anautoa wapi wajameni?
 
Du na mimi ngoja nikajiandikishe chuo kikuu huria maana masoma ya huko yatakuwa marahisi sana.Mbona namuona huyu mama kila siku yupo na mzee kwenye ziara sasa muda wa kubukua anautoa wapi wajameni?

Kamuulize Mhe. Mulugo, maana naye ana BA ya OUT. Kwa wasiojua, OUT unaweza kusoma degree hata miaka 10. Kila term unaweza kufanya mtihani mmoja. Ukijiona uko fiti, unafanya zaidi, pepa ambayo unaona hapana unajipanga kwanza na kufanya baadae. Kuna jamaa mmoja alisoma degree ya sheria kwa miaka saba, 7. Kwa ufupi, OUT hakuna kushindwa.

By the way, mara nyingi assessment za OUT ni Course Work kupitia assignment ambazo unafanya nje wa chuo.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Back
Top Bottom