The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,693
Hajaingia kwa merit na bado atakuwa kihiyo hadi asome. Chini ya usultani wa mumewe ulitegemea nini Remote mwanangu?
mwanangu avatar yako! duh huyo paka na hiyo pua!!Yaaaaaaaa! kama kawa!
Kamuulize Mhe. Mulugo, maana naye ana BA ya OUT. Kwa wasiojua, OUT unaweza kusoma degree hata miaka 10. Kila term unaweza kufanya mtihani mmoja. Ukijiona uko fiti, unafanya zaidi, pepa ambayo unaona hapana unajipanga kwanza na kufanya baadae. Kuna jamaa mmoja alisoma degree ya sheria kwa miaka saba, 7. Kwa ufupi, OUT hakuna kushindwa.
By the way, mara nyingi assessment za OUT ni Course Work kupitia assignment ambazo unafanya nje wa chuo.
Namshauri amshauri kihiyo Salma Kikwete naye aingie darasani badala ya kupoteza muda na pesa yetu kwenye kuzurura.