Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,920
- 288,033
Nimecheka almanusura kuchana mbavu !Wamama wa Ukawa wako katika hali ya uelewa mpaka unapata matumaini kuwa ni washauri wazuri katika familia zao;
View attachment 298528
View attachment 298529
Wakati huo huo upande wa pili wamama wa chama kongwe wameonyesha kuwa wao ni mahiri sana katika masuala ya mauno mauno na vituko vya ajabu visivyo staha kwenye familia;
View attachment 298532
View attachment 298533
Sijui kwa kweli, Hivi unaweza ukawa na mke, halafu ukafurama vile? Mbele ya umati?Magufuli ana mke kweli??
huyu Mama ni mzuri hana binti aliye single
Tubebe na ikiwezekana tujitolee kununua karamu kibao tuzigawe kwa wana mabadiliko
Fisadi Chenge hamjakataa?Bariadi tulimkataa na pesa zake!
Kama Dr. SlaaMagufuli ana mke kweli??
Tubebe na ikiwezekana tujitolee kununua karamu kibao tuzigawe kwa wana mabadiliko
Malofa hamueleweki na mna double standard za hali ya juu. Mambo hayo alipoanza kuyafanya Salma Kikwete, hamkuisha kupiga kelele kuwa anageuza urais kuwa suala la kifamilia. Leo anayafanya huyo lofa mwenzenu, mnaona sawa. Akienda kuanzisha taasisi ya "MOMA"huko mnakotaka kumpeleka, sjui mtalalamika?
Magufuli ana mke kweli??
Ulitakiwa kufikiri vizuri kabla ya kuropoka, Salma Rashid Kikwete alimfanyia mumewe kampeni katika kipindi cha pili cha utawala wa JK. Alikuwa akifanya kampeni akitokea ikulu, akitumia magari na walinzi wa serikali na alikuwa anapokelewa kila alipokwenda na viongozi wa serikali! Hii ndiyo watu walipigia kelele! Ni tofauti kabisa na Mama Reg Lowassa anavyofanya sasa,yeye anatokea nyumbani kwake,kwa gharama zake mwenyewe, walinzi wake mwenyewe na anapokelewa na wanachama na wapenzi wa mumewe.Malofa hamueleweki na mna double standard za hali ya juu. Mambo hayo alipoanza kuyafanya Salma Kikwete, hamkuisha kupiga kelele kuwa anageuza urais kuwa suala la kifamilia. Leo anayafanya huyo lofa mwenzenu, mnaona sawa. Akienda kuanzisha taasisi ya "MOMA"huko mnakotaka kumpeleka, sjui mtalalamika?
Malofa hamueleweki na mna double standard za hali ya juu. Mambo hayo alipoanza kuyafanya Salma Kikwete, hamkuisha kupiga kelele kuwa anageuza urais kuwa suala la kifamilia. Leo anayafanya huyo lofa mwenzenu, mnaona sawa. Akienda kuanzisha taasisi ya "MOMA"huko mnakotaka kumpeleka, sjui mtalalamika?
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
Kumbe mshkaji mzinzi eee...Yule ticha washapigana kibuti kwa sababu padilok alichukuwa chuda mwingine akampa limjengo la serikali, sasa hivi mijamaa ya lumumba inajaribu kuweka mambo sawa lakini imekuwa ngumu! Ticha kagoma tena ameokoka ha ha ha!