Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
Mkuu unataka kutwambia anamzidi hata samiaí-½í¸†
kama uko mwanza inabidi elimu hii uwe unaijua. Hiindo kazi ninafanya na wenzangu jinsi ya kupiga na kukunja. Uko pansiasi tutafika soon subiri tumalize sehem fulani
Go cdm go. Go ukawa go!
WATZ WANATAKA MABADIRIKO
Mimi kama mjomba wa binti tutakuruhusu kama wewe ni mwana UKAWA…magamba wasahau kabisa watabaki kuona ktk picha tuYani mume anangurumisha geita mke yuko busy na Iringa!!!
Nasema tena na tena NIKIPATA MSICHANA MWENYE TABIA KAMA HUYU FIRST LADY WETU MTARAJIWA mimi na ubachela tunaachana!!!
mama nimemkubali mikutano yake idadi ya watu ni sawa kabisa na zile za Magufuli! Lowasa tu ndo Level nyingine!
Tumekubaliana tangu zamani kutumia "mama"badala ya "Bi" kama tafsiri isiyo rasmi ya neno la Kiingereza "Mrs" baada ya kuwepo na maneno kama "Bi mkubwa" na "Bi Mdogo" kumaanisha pia mke mkubwa au mdogo yaliyoleta mkanganyiko kwenye jamii! Na wakati mwingine pia "Bi" ilitumika kumaanisha mwanamke asiyeolewa au "Miss" kwa Kiingereza!Mleta mada hii, sijui ni mtanzania au? inashangaza sana mke wa mtu kumwita mama yake. Hivi watanzania mnakipeleka wapi kiswahili chetu? Huyu ni mke wa Lowassa na si Mama Lowasa. Hili limekua tatizo sugu hapa tanzania kwa watu kuwaita wake za viongozi mama zao. Hebu jamani tuoneshe basi kuwa tanzania ndo chimbuko la kiswahili kwa kukienzi. Hainiingii akilini mke wa kiongozi kumwita mama yake! shame on you.
Wamama wa Ukawa wako katika hali ya uelewa mpaka unapata matumaini kuwa ni washauri wazuri katika familia zao;
View attachment 298528
View attachment 298529
Wakati huo huo upande wa pili wamama wa chama kongwe wameonyesha kuwa wao ni mahiri sana katika masuala ya mauno mauno na vituko vya ajabu visivyo staha kwenye familia;
View attachment 298532
View attachment 298533
Mbona unajitoa ufahamu wewe!!! Huyu ndiye first lady wetu wa JMT.
Akili yako ni sawa na ya nyumbu
Mama naye ana tumafuliko twake....rahaaa
Wamama wa Ukawa wako katika hali ya uelewa mpaka unapata matumaini kuwa ni washauri wazuri katika familia zao;
View attachment 298528
View attachment 298529
Wakati huo huo upande wa pili wamama wa chama kongwe wameonyesha kuwa wao ni mahiri sana katika masuala ya mauno mauno na vituko vya ajabu visivyo staha kwenye familia;
View attachment 298532
View attachment 298533