Wizi mtupu! Mbona yana kideli yanasinzia ovyo!Salaaam wakuu ,nauza majogoo makubwa ,mazito Yana chanjo zote na yanafaa kwa kula au mbegu ..
Yapo ya kutosha
Location: kiluvya gogoni km 1 toka morogoro road.
Contact:0755404226View attachment 1188437View attachment 1188438
Majogoo magonjwa hayo.yanarembua km lemutuz.Salaaam wakuu ,nauza majogoo makubwa ,mazito Yana chanjo zote na yanafaa kwa kula au mbegu ..
Yapo ya kutosha
Location: kiluvya gogoni km 1 toka morogoro road.
Contact:0755404226View attachment 1188437View attachment 1188438
Kama huna pesa ya kununua pita kimya kimyaMajogoo yana viashiria vya ushoga kwa muonekano.
Mkuu unataka yacheze ngoma au yawe yanaruka ngoma ya tetemaMbona mazembe hivo yanalala lala tu
Watu wa Itumba, Nbebe na Isoko mna madharau na mnajikweza sanaWizi mtupu! Mbona yana kideli yanasinzia ovyo!
Pole Mkuu!Watu wa Itumba, Nbebe na Isoko mna madharau na mnajikweza sana
umenimaliza asee 😂 😂 😂Hao kuku sio wagonjwa Bali wameshiba hadi wanajihisi kichefuchefu.
AhahahhahahhahaMajogoo magonjwa hayo.yanarembua km lemutuz.
Achana na video mkuu wanunuzi wanaelewa.Achana na hawa wanaoishi kwa shemeji.wanachoweza mudu ni vile vi kuku vyekundu vya KinoAliye serious naweza kumtumia video za hao kuku ,hapa nimeshidwa ku upload video... please njoo what's up yapo majogoo zaidi ya 400
0755404226