Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,316
- 840
Kama sina Cover jengne nifanyeje sasaHii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya "Chagua Magufuli". Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Ubungo - Kijazi Interchange, mtu kaweka kabisa kwenye gari lake na ana amani kabisa. Kuna watu hapa watafura kuona hii picha.
View attachment 2337205