PICHA: Maalim Seif aibua hisia za ndani Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake ya siku 4. Apokea zawadi KEMKEM

knock knock

JF-Expert Member
Mar 8, 2018
326
384
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Shariff Hamad ameibua hisia kali na za ndani kisiwani Pemba kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CUF akiwa anamaliza ziara yake ya siku 4 kisiwani Pemba.

Ikumbuke ziara hii ilianza rasmi siku ya tarehe 27.3.2018.

Jionee picha mbali mbali akiwa katika vikao na mikutano ya ndani pamoja na wanachama wapenzi na mshabiki mbali mbali katika kisiwa chenye marashi ya karafuu Pemba.

Na: Juma K.Hamad (MB)

77.jpg

55.jpg
44.jpg

22.jpg

1.jpg

33.jpg
 
View attachment 729398

View attachment 729374 View attachment 729375

View attachment 729376

View attachment 729377
View attachment 729378

leta picha nyengie nyengine
 
Back
Top Bottom