Picha: Maalim Seif achanja mbuga uchaguzi 2020. ACT ni tishio kwa siasa za Zanzibar

Kweli nimeamini ccm ni chama cha mapoyoyo. Mnapindua meza Zanzibar halafu mnajisifia ushindi.
 
Wapemba wengi wana akili chafu sana, nadhani nikwasababu wengi wana elimu ya madrassa tu basi.
 
Nimeziona hizo sura za akina mama waliokata tamaa, niaanza kumuamini shangazi huyu Mpemba.

 
Pemba wanamuendekeza Maalim seif hawajui wanapoteza muda tu

Huyo Maalim seif hawezi kuwa kiongozi wa Zanzibar labda mbingu zishuke



God first

Waachie wenyew wazanzbair, pilipili usio ila kwa nn inakuwasha mdomo?
 
Tunamuombea Maalim kila la kheri ili awabwage madhalim wa chama cha mapinduzi

Chama kilicholeta mateso katika nchi hizi mbili chama kinachopiga watu risasi na kuwaua

Chama kinachopiga risasi wanasiasa makini mfanowe Tundu Lissu mbele ya Bunge tukufu la muungano

Chama kilichochokwa hapa barani Afrika
 
Back
Top Bottom