Picha: Maajabu ya Lowassa

Wapendwa pia ni vema kuelimishana hata huko mitaani / vijiweni utakapo ingia kwenye chumba cha kupigia kura ile karatasi ya kura haitakuwa na neno UKAWA bali kutakuwa na majina ya vyama kutegemeana na hilo eneo mbunge / diwani aliye pendekezwa anatoka chama gani kama vile CHADEMA, NCCR, CUF au NLD, ila kwa upande wa rais ni CHADEMA moja kwa moja au unaangalia nywele NYEUPE, ni vema tukaelimishana na wenzetu kitaani.
 
Picha nyingi ni za kuunganisha, pia nyingine ni za Dr. Slaa.

Kwa hisani ya Mkwele.
 
FaizaFoxy hachezi mbali anapoona thread za Lowassa. Hakika Lowassa ni baba lao
 
Moja kati ya mabango bora kabisa ya Edward lowasa
 

Attachments

  • 1442252299201.jpg
    43.4 KB · Views: 889
Watu wamepiga noti za kutosha kwa jina Lowasa
 

Attachments

  • 1442252372489.jpg
    68.6 KB · Views: 852
  • 1442252398362.jpg
    69.7 KB · Views: 797
Ha ha ha naona yohana mbatizaji anataka muona mesiah
 

Dah! Tena umefanya vizuri sana kuwakumbusha, hasa ukizingatia wengi wanaosapoti uelewa wao ndio hivyo tena!
 


Wewe wacha porojo za kijinga za kutafuta huruma.

Wewe kumchagwa Lowassa siyo ku "exploit" huyo Malaika? Unataka alie mpaka afe?

Ikiwa kumwambia tu utachaguwa Lowassa mtoto analia anachachatika leo ungekuwa mama'ke au babake ungethubutu kumwabia "nimemchaguwa Lowassa".

Nimekuona ni mjinga kufikiria kuwa hisia za mtoto ni "exploitation". Exploitation ni kufanya kinyume na matarajio ya huyo mtoto na kwenda kumchagulia Lowassa tena hiyo itakuwa ni child abuse of the highest order. Ukimchaguwa Lowassa ina maana huna kabisa hisia na huyo Malaika.

Fikiri japo kiduchu, usifikiri utakuja na ujinga wako hapa utakaliwa kimya.

Huyo Mlaika anamkataa Lowassa, jee, wewe upo tayari kumtesa huyo Malaika?

Uliona kuna mtu haoa anaingiza "faida" kwa huyoo mtoto, wewe ulilipia kumuona? Sasa wewe ukienda kinyume na kumchaguwa Lowassa ujuwe ndiyo unamtesa huyo mtoto. Tumekuewekea uelewe hilo, kuwa hata hawa Malaika wasioweza kupiga kura hawamtaki licha ya wewe unaejiona una akili.

Bandiko lako halina mshiko nnaona unalalamika kijinga. Kuna ku exploit watoto zaidi ya nyinyi wachagga kuwanywesha beer na mbege tangu wadogo? Unafikiri hatuwajui?
 
Bunge la 11 Kikao cha 7 kikao kinaendelea...
 

Attachments

  • 1442785265794.jpg
    15.8 KB · Views: 326
  • 1442785340277.jpg
    21.9 KB · Views: 329
  • 1442785367170.jpg
    38.4 KB · Views: 322
  • 1442785426245.jpg
    27.2 KB · Views: 320
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…