Bado wewe sasa.
Basi kasherehekee Kempisk
hivi huyu binamu wenu analipwa humu?, maana anavojituma kuanzisha mathredi..
Si huwa anauza uroda kwa wadau mbalimbali.
Http??www. Ulimbukeniwakitoto.com Pesa si mali ya mtu Binafsi ni nyara ya serikali acheni kuzizalilisha
Yaani ulimbukeni mwingine shida sasa sisi watu watakukuru tukianza kukufwatilia sijui utasemaje maana rushwa ya ngono hatari wazee wa TRA faster mumpe kimashine huyu awe anakatia watu risiti ili alipe kodi nenda shule wewe
Sh ngapi?