Kwaaaaaaaaaa!!!!!! Labda uguse TV akiwa anapunga mkono😀😀😀😀 mimi kama takuwepo Mwaza tajipendekeza japo niguse koti lake labda Naweza kuwa na hekima hata robo za Lowassa.
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi

CCM mtakufa na kihoro. unakataa mtu asisali kisa siasa?? mzee Lowassa anayo hofu ya Mungu na Mungu kamwe hamuachi mtu mwenye hofu Juu yake. Kila analofanya humtanguliza Mungu na Ndiyo maana Watanzania wanamhitaji Lowassa maana anayo hofu ya Mungu ndani yake.
Hivi Magufuli huwa anaenda kanisani kweli maana sijawahi kusikia wala,kushuhudia kabisa nauliza sio kwa nia mbaya,maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akifurahi jambo na watoto wakati alikuwa akitoka kanisani kwenye Ibada ya Jumapili, Musoma.
Ama kweli desparate times calls for desparate measures! Jamaa amechanganyikiwa hadi anaomba kura kwa watoto wadogo..huyu akiendelea hivi huwezi kushangaa anaomba hadi wanyama wampigie kura ya ndiyo