Mdau Makin
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 767
- 207
Zingatieni kauli hii.
Lowasa ataishia kuwa Rais wa mitandaoni tu. Watanzania si wajinga wa kiwango mnachodhani nyie.
wewe ni mtanzania.?
watanzania halisi hatukuelewi, ni bora tukaenda kuwaswalia vijana na wazee wote wasio yataka mabadiliko dua ili mwenyeezi Mungu hawajaalie maisha mema peponi.. tarehe 20 octoba15