SUMAYEEEEEEEE..... daaaaah...!!!
Huyu Kamanda rahaaaa sanaaaa sanaaaa
Sumayeeee...👏👏👏👏👏👏✌✌✌
Sumaye hadi raha sanaaaa... yaani anashangaaa kadi za CCM, ukimtazama ni kama anasema, hivi watu wanakaa na hizi kadi hadi sasa za nn..? anazishangaa kama kadi za KICHAWI VILE...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sumayeee.....😂😂😂😂😂😂😂