Picha: Lowassa akiwa Biharamulo Magharibi

Picha: Lowassa akiwa Biharamulo Magharibi

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mkutano wa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Stendi, Jimbo la Biharamuro Magharibi leo Oktoba 14, 2015.
 

Attachments

  • 1444839931470.jpg
    1444839931470.jpg
    92.1 KB · Views: 5,151
  • 1444839982133.jpg
    1444839982133.jpg
    80.6 KB · Views: 10,616
  • 1444840007284.jpg
    1444840007284.jpg
    65.1 KB · Views: 4,178
  • 1444840036843.jpg
    1444840036843.jpg
    50.6 KB · Views: 5,028
  • 1444840058896.jpg
    1444840058896.jpg
    52.3 KB · Views: 3,969
  • 1444840107049.jpg
    1444840107049.jpg
    65 KB · Views: 4,012
  • 1444840127001.jpg
    1444840127001.jpg
    52.6 KB · Views: 4,524
Masha ndani,, huyu Lowassa bana mbona unawakimbiza watu sana, hebu punguza aiseeee.
Magufuli kapumzika tena siku ya leo
 
Ha ha ha
Naomba picha za Ngara maana ilikua shida
 
Mod saidia kubadilisha kichwa cha habari hakijakaa sawa
 
attachment.php


Wajameni, wahurumieni hao watoto wadogo. Hizi "nyomi" bado hamjatosheka nazo?
 
Hongera Ocampor. Ila rekebisha kichwa cha habari, Naona kalam imeteleza Kamanda,
Maana hicho kichwa cha habari kwa wale wapambe wa upande wa pili wanaweza kukitolea tsfsiri ya design ya ashakum si matusi.
 
Back
Top Bottom