Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo


Ngoja nikwambie wewe mimi nikifikia mahali ambapo naumwa mpaka najinyea siwezi kutumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kwamba mimi ni mzima bali nitakubali kuwa mimi ni mgonjwa na kutulia nyumbani kujiuguza mpaka siku ya mwisho!
 
Hilo ni la kijani kwani hamjui Kuna watu addicted with drugs...., mleta Mada ni addicted with colour
 
Ngoja nikwambie wewe mimi nikifikia mahali ambapo naumwa mpaka najinyea siwezi kutumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kwamba mimi ni mzima bali nitakubali kuwa mimi ni mgonjwa na kutulia nyumbani kujiuguza mpaka siku ya mwisho!

Mshukuru Mungu kwa afya uliyo nayo na wala usiringe kuwa ni kwa nguvu zako wala kwa chochote ulicho nacho na wala usimdharau mtu yoyote ambaye ana madhaifu au magonjwa yake hakupenda kuwa hivyo na kama unamuhesabu kuw ani mgonjwa mwache Mungu achukue maamuzi yake usimhukumu wewe
 

Hizi akili zinafanana na za yule Katibu mkuu wenu. Nadhani ulimsikia leo. Utadhani mmemteua leo hii kutoka Hargaesa!!! Hivi kumbe aliye uwa viwanda Arusha ni CHADEMA?
 
Hivi kila rangi ya kijani ni CCM?
 
Unajua kuhani msiba sio kesi alafu ukizingatia kisumo ni wa muda mrefu duniani,wanafahamiana vilivyo sasa mambo ya msingi unaleta siasa zako uchwara
 
Wewe barbaroda futs hilo neno la kijinyea ni la uwongo; je ukiitwa mahakamani una ushahidi; maneno machafu ya kumdhalilisha lowassa; yamepandikizwa tu. Ciku wanakukamata utaisaidia polisi, wewe endelea tu na limdomo lako lililokosa staha wala hekima.
 

Kwa fisadi Lowasa na Genge lake sheria na Kanuni zote za kiutu na Kibinadamu hazitumiki, hivyo ni ruksa hata Mungu anajua, na bado Pigo kubwa na takatifu linakuja. Ongeza Kingine!
 
Siasa za kinafiki mbaya sana kashindwa kwenda kumzika Mohamedi Mtoi wala kuhani unakwenda kuuza sura kwenye misiba ya watu maarufu.
 
Last edited by a moderator:
Acheni kukuza mambo. Kama Lowassa angekwenda kimya kimya hivi kwenye msiba sidhani kama angekataliwa. Tatizo alitaka kuvamia msiba na msururu wa bodaboda na lundo la masapota wake ka vile anakwenda kwenye kampeni. Ni vizuri alidhibitiwa na msiba kuendelea bila bugudha. Alichofanya leo ni ustaarabu aliopaswa kufanya hapo awali.
 
Kwa fisadi Lowasa na Genge lake sheria na Kanuni zote za kiutu na Kibinadamu hazitumiki, hivyo ni ruksa hata Mungu anajua, na bado Pigo kubwa na takatifu linakuja. Ongeza Kingine!

We gamba unasumbuka sana
 
Omba Mungu akupe busara na hekima. Hivyo huwa havipatikani darasani.

Kwa fisadi Lowasa na Genge lake kanuni na sheria zote hazitumiki, hivyo chochote kinaruhusiwa na Mungu ameruhusu hilo!
 
Shati la blue la kawaida anayesema kavaa kisisiem maana yaake Ni ninii?? Jamani Amaa kweli.siku ya kufaa nyani miti yote hutelezaa.
 
Amekufa mgombea ubunge wa Ukawa Lowassa alikuwa anaendelea na kampeni mpaka leo hakwenda kuhani na alikuwa Tanga, juzi tu.

Unafiki kitu kibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…