Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Nyerere wa pili eeh? Kama wanavyosema wenyewe Nyerere "must be rolling in his grave"Lowassa atakuwa raisi wa mioyo ya watu. Nyerere wa pili
Leo kapiga mkutano Wapi?
lazima shule ulifeli saana maana hata rangi hujui inasikitisha sana au ndio ukipofu wa mahaba ya kijaniKatika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.