Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

haha haha haha haha "wame-edit hizi za dr slaa mwaka 2010" teh teh teh teh

mchawi mpe mtoto/mwanao amlee ni makosa kusema Ccm wataiba kura enyi wadanganyika mtaibiwa kisha mkae kimya eti mlalamike mmeibiwa? shenzi ..........kama unauhakika mtaibiwa kura hapo tz mtakua wakimbizi sasa unaibiwa mnachekelea....mungu wangu wewe
 
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Kwaraha, Babati Mjini, leo Oktoba 2, 2015...

Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......

Asante sana kamanda ocampo kwa taarifa njema za ukombozi wa pili kulikomboa taifa letu tanzania,
Hongera sana wana ukawa
Hongera sana mhe lowasa
 
Truly he is a man for the people, with the people and a choice for the senior most post in Tanzania come on 25th Oct., 2015. He will lead a new nation with vision!
 
Mkuu ukisikia siku ya kufa nyani........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…