PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

Mungu awape nguvu zaidi, pumzi zaidi, hekima, busara, akili na maisha marefu mukamilishe kazi mliyoianza.
 
ccm wakiona ummati hivi, ndio watakavyozidi kupanga mikakati ya HUJUMA NAWIZI WA KURA. ndio maana wanaipenda ile kauli tangu enzi za Mh L. Mrema juu ya wingi wa watu kwenye mikutano kuwa sio alama ya ushindi
 
Wengi wa hawa watu ni wale ambao hawajawahi piga kura ila wamemaliza elimu mbovu ya miaka 7 wana maisha magumu hawana matumaini na serikali yao kesho au kesho kutwa .Wanangojea kupiga kura hawaoni maisha wao kwao kila siku bora jana.CCM wanakazana kutangaza mafanikio .Kazi wanayo kwenye box la kura .
 
KIla la heri Mungu awatangulie, vizingiti vyote viepushwe
 
Digital system = M4C = mabadiliko ndani ya mioyo ya wa-tz!!

tunataka kuweka historia 2015 katika nchi yetu, mabadiliko haya tayari yapo ndani ya watu kinachobaki tu ni mobilization kuelekea kwenye fainali. umati kama huu bila posho, bila kuwapa bodaboda buku kumi kumi za mafuta, bila zecomidy, bila taarabu na bongo freva kama wenzetu basi think twice - revolution is on the way!!!
 
Wee acha hizoo dalili ya mvua mawingu bhana! Acha ukada penye ukweli.
 
Hizi ndo kazi za kuonekana kwa watu ambao damu yao wameitoa kwa ajili ya kulikomboa taifa hili. Big up msigwa, lissu na wengine wanahangaika na kuitoa nchi yetu katka mfumo analogia kwenda dijitali. Sio kama anavyofanya mzee wa matunguri eti 'sitaliongelea suala la urais mwaka huu'' mi nakukumbusha sio mwaka huu tu bali milele hautauongelea urais wa nchi labda uongelee urais wa matunguri
 
Back
Top Bottom