Picha kwenye facebook

Lateni

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
676
334
Habari wadau,

Naomba kuuliza kuhusiana na facebook, utaratibu wa kuweka picha ukoje? je kila mtu ana uhuru wa kuweka picha yoyote aitakayo? ninauliza hivi maana kuna huyu mtu kwenye facebook anaitwa talizah rekaofela
ameweka picha ya utupu wa mwanamke.

Je facebook wanazojinsi za kureport issue kama hii ili picha iweze kuondolewa, au ni hadi mwenye kuiweka aiondoe?

asanteni.
 
Back
Top Bottom