Kweli kila kilichokuwa na mwanzo kina mwisho ,huyu jamaa namkalisha saizi

:) :) ulishawahi kutana na kipigo hadi ukipelekwa hospital unaambiwa huyu mgonjwa mmemchelewesha mngemleta jana!, kumbe kipigo cha dakika chache zilizopita!?, sasa we chokoza watu hii kali
 
169449a5e9ff708915f10c05e13c48cc.jpg


9c00a559c3daeae24720eb25d644e082.jpg




47db275fa13e11b84829a83ba7e98d5f.jpg


Kipande cha mtu enzi hizo

a4fe4370e5f83b4df5daa9fafdcf37c7.jpg


23812aa6442e4a4d2f83582780dfb37f.jpg




394149cdc9cba66092c28e2d52ba5df4.jpg

marighaya ,kwishney ,finito ,kwisha hata mimi nampiga saizi
Nenda kaguse moto uwo uone; utaomba maji kwa vitendo!
 
Nimecheza shoto kan mpaka kata ya 3 nikaacha
Pumbavu we, tena funga bakuli lako. Kata 3 ndo unakuja kupiga kelele huku? Hao watu wenyewe wa Kata 2 tu ninauhakika huwezi kucheza nao. Funga kabisa kopo lako ukojoe ukalale
 
Bwana mdogo unatafuta kifo? JITU NI BOLO YOUNG......hapo ndipo amefikia uwezo wa ki master na siyo kuzeeka.
 
ukitaka pigana nae pigana nae, pigana nae tanzania au kijjini kwenu kabisa ili usitupe gharama ya kubeba mait toka china mpaka huku
 
Back
Top Bottom