Picha : Kwa Style Hii...

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
kwa style hii ile kazi ambayo vijana wanaipigania kuipatana kujiona smart sana baada ya kufanikiwa
kuipata,bora mbaki nayo wenyewe.
mambo gani haya sasa ya kunyeshewa na mvua.....bora niendelee na kibarua changu cha kuchoma mkaa huku porini
​
 
Amekingwa weee lakini kalowa mwenyekiti wa CCM
 
Chezea mvua wewe, yenyewe haijui cha nani wala nani......twende kazi.
 
Hivi kwenye mazingira ya mvua, hao walinzi wake wanaoonekana huwa hawapewi makoti kujikinga?

Au ni ushujaa kulowa chapachapa na mvua?
 
Hivi kwenye mazingira ya mvua, hao walinzi wake wanaoonekana huwa hawapewi makoti kujikinga?

Au ni ushujaa kulowa chapachapa na mvua?
Mkuu umenivunja mbavu zangu.
 
Reactions: Paw
Na alivyo na nyodo akitoka hapo ni fasta hospitali akacheki afya, chezea braza msafi wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…