Picha: Kwa mwendo huu CCM kwaheri 2015

Picha: Kwa mwendo huu CCM kwaheri 2015

Ccm puresha inapanda inashuuukaaa,ccm presha inapanda inashuuukaaa.puresha inapandaaaa inashuka. Hahahahahaaaa wamekwishaaa masikini ccm kama kanu!!!
 
Kwa mwendo huu ccm kwa heri 2015
68657_10152067835550931_1317704200_n.jpg
537298_439657879421375_1870935020_n.jpg
 
Katiba mpya, kuwe na kifungu kinachokataza vyama vya siasa kukusanya kadi za vyama vingine.
 
Mkuu kuna taarifa ya kuvunjwa ofisi ya cdm jimbo la kinondoni taarifa iko kituo cha polisi,sasa huenda hizo kadi ziliibwa huko.
 
Mbona siku hizi sisikii magamba wakisema ccm #1 ? Watuambie ni namba ngapi basi
Magamba ni kama timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Brazil, kwa miaka mingi mfululizo, kwenye chart ya FIFA ilikuwa ikishiklia nafasi ya kwanza, ikiwa haina mpinzani kabisa, hivi sasa katika top 10 haimo!!!!
 
Hizo kadi ambazo hazijakunjwa, hazina wanachama. Nani kaiba hizi kadi, hazijagawiwa hizo.
Hizo za upande wa kushoto jamaa walijisahahu kuwa kadi huwa zinakunjwa. Kwasababu walizinunua kwa wingi walikosa fedha za kuwapatia vijana wasaidie katika zoezi la kuzikujna. Magamba bwana akili zao ndogo kuliko za watoto wa baby class
 
Yaani kama ofisi ndio hii ya Mbavu Za Mbwa:-

View attachment 79911

Yaani ni sawa kumbe wananchi wake kuwa nao kama Mbavu Za Mbwa namna hii:-View attachment 79912

Hivyo ni wajibu wetu kupambana ili Mwaka 2015 mbele ya hiyo ofisi hapo juu tunaweka jiwe hili:-

View attachment 79923

Taarifa ya msiba huu imefikie [MENTION]Chama, betlehem, Nape[/MENTION] na wote wanaohusika na msiba huu.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Ni muhimu itambulike kwamba kadi nyingi za CCM wahusika huwa hawazigharamii, wanapewa bure tena mara nyingine kwa kupelekewa hadi vitandani mwao usiku na wagombea ubunge (pamoja na rushwa) ili kwenda kuwapigia kura wahusika katika mchakato wa kura za maoni; Kwahiyo sio ajabu sana kwa wamiliki wa kadi za namna hii kuzirudisha; Lakini kitendo cha Kadi za Chadema mfano kurudishwa kidogo huwa kinashtua kwani kwa kiasi kikubwa, wamiliki wa kadi husika huwa wamedhamiria wenyewe kuwa nazo kutokana na hamasa kubwa waliyonayo kwa Chadema;
 
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa hali ya CCM ni mbaya sana,wenye akili ndani ya ccm wangejiuliza kwanini CDM inakuwa siku hadi siku?
 
Ni muhimu itambulike kwamba kadi nyingi za CCM wahusika huwa hawazigharamii, wanapewa bure tena mara nyingine kwa kupelekewa hadi vitandani mwao usiku na wagombea ubunge (pamoja na rushwa) ili kwenda kuwapigia kura wahusika katika mchakato wa kura za maoni; Kwahiyo sio ajabu sana kwa wamiliki wa kadi za namna hii kuzirudisha; Lakini kitendo cha Kadi za Chadema mfano kurudishwa kidogo huwa kinashtua kwani kwa kiasi kikubwa, wamiliki wa kadi husika huwa wamedhamiria wenyewe kuwa nazo kutokana na hamasa kubwa waliyonayo kwa Chadema;
mkuu wale wale wanaofuatwa na kupewa kadi za CCM bure pamoja na hongo juu ndo hao hao wanaohongwa kurudisha kadi za CHADEMA, ama ndo hao hao wanaonunuliwa kadi za CHADEMA na hao hao CCM ili wazirudishe siku ya mkutano, hivi ni vijimambo tu TZ, kadi zitapita na maisha yanaendelea.....
 
Back
Top Bottom