PICHA: Kurasini Road Intersection (Flyover) kuelekea Mwl. Nyerere Bridge, Kigamboni

PICHA: Kurasini Road Intersection (Flyover) kuelekea Mwl. Nyerere Bridge, Kigamboni

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Wakuu,

Yawezekana wengi hawakujua kuwa ujenzi wa hii intersection ulifanyika kwa kiwango gani lakini ningependa kuwapa perspectives tofauti ambazo zipo.

4be76c4eba4b7748a71c43a9ac1fc52d.jpg

Hii picha ilitumiwa katika baadhi ya vyombo vya habari.

Hii intersection ipo karibu na Baraza la Maaskofu (TEC), Kurasini jijini Dar es Salaam.

8a882ff5b3e6f5751f2e073eee33afe4.jpg

Hapo ni ukiwa unaanza kuingia kwenye intersection yenyewe.

88b30f129e70cd515e91a3b6ddad74db.jpg

Hapa ni ukiwa juu ya njia ya treni ambayo ipo juu ya barabara iendayo Kigamboni.

b45ae1b49e2956b7af7dc22ab469e881.jpg

Ukiwa juu ya barabara nyingine unaona magari ya mizigo yakitokea Bandarini

Natumaini wengine mnazo picha nzuri zaidi yangu na mtajazia.

Nichukue fursa hii kuwapongeza wajenzi wa mradi huu kuibadili sura ya eneo hili.
 
Tumedhamiria, Dar es Salaam itabadilika-Rais Magufuli

Shukrani kwa picha nzuri zinazoonyesha mandhari ya kuvutia.

Hakuna tofauti na kuwa kwenye Motoways za nchi za ''ulimwengu wa kwanza''.

Kwa maana nyingine, haya ndio maendeleo ambao unayaona, unayahisi na kuyagusa.

Tunaanza kupunguza masimango kuhusu barabara kutoka kwa Wakenya.

VIDEO YA DARAJA LA NYERERE.
 
Nadhani haya ni matokeo ya awamu zilizopita.

Penye zuri tutoe credit bila kinyongo, pa kupondea tuponde mpaka kieleweke.
...sio awamu zilizopita tu,na awamu zijazo pia,hebu tulizeni mioyo!
 
Wakuu,

Yawezekana wengi hawakujua kuwa ujenzi wa hii intersection ulifanyika kwa kiwango gani lakini ningependa kuwapa perspectives tofauti ambazo zipo.

4be76c4eba4b7748a71c43a9ac1fc52d.jpg

Hii picha ilitumiwa katika baadhi ya vyombo vya habari.

Hii intersection ipo karibu na Baraza la Maaskofu (TEC), Kurasini jijini Dar es Salaam.

8a882ff5b3e6f5751f2e073eee33afe4.jpg

Hapo ni ukiwa unaanza kuingia kwenye intersection yenyewe.

88b30f129e70cd515e91a3b6ddad74db.jpg

Hapa ni ukiwa juu ya njia ya treni ambayo ipo juu ya barabara iendayo Kigamboni.

Natumaini wengine mnazo picha nzuri zaidi yangu na mtajazia.

Nichukue fursa hii kuwapongeza wajenzi wa mradi huu kuibadili sura ya eneo hili.
Kuna kitu umekosea hapo,ulitakiwa heading yako umalizie asante Jakaya Kikwete,miundombinu ya dar ya leo ni kazi ya mikono yake
 
Inapendeza sana la msingi watu wasitupe uchafu hovyo hapo na pia kuilinda kuibiwa vifaa vyake hasa vyuma na vibao vya kuelekeza njia ya kupita...kingine Dar haiwezi kupendeza bila kuipanga mji haujapangwa kabisa na hadi leo watu wanajijengea tu...bahati mbaya sijaona kama juhudi za kuzuia squatter ziko sana..naona pia masuala ya masoko ni tatizo kubwa ukienda soko la buguruni ni chafu sana sana...ni mhimu ukawapo mfumo wa kujenga miji iliyopangwa kuondoa usumbufu wa uchafu..foleni na kero za vibaka..
 
wanajiji nao tubadirishe mapaa yetu sasa,yana kutu mno...yanaharibu maana nzima ya hizi barabara nzuri....ukiwa angani utasikitika sana jinsi hili jiji linavyotizamika...mnaotumia usafiri wa anga mtakuwa mashahidi wenzangu juu ya hili...
 
Nadhani haya ni matokeo ya awamu zilizopita.

Penye zuri tutoe credit bila kinyongo, pa kupondea tuponde mpaka kieleweke.
Mnataka kusema hiyo Flyover kwenye hiyo intersection ipo bado au iko kwenye raman ?
 
Ngoja waje kina salary slip na wenzake wao kazi ya kubwa ni kupinga tu hata kama jambo lina maslahi ya taifa huu ndiyo upinzani wa Tanzania.
na wewe kazi yako ni nn kama sio kujipendekeza? Kila kitu unanyenyekea ovyo ovyo???
 
Back
Top Bottom