Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Ni vizuri mnachofanya, lakini pia ingekuwa ni hekima sana kufanya marejesho ya operation zilizofanywa awali.
Kulikuwa na operations nyingi zilizofanyika huko nyuma, je mrejesho wake ukoje?.
Mrejesho wake nikuwa CCM wana hofu kupita maelezo

 
Watu wa kanda ya ziwa hawtaki kudanganywa tena na Cdm kama 2010 saiv ni Lowassa tu kila sehem

Kanda ya ziwa ipi? labda kuna nyingine ya Lumumba na si hii niliyozaliwa na kuishi. Ulintweneki nyanda onhumbhi yaza get e ikune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…