Picha: Kumbe Mwigulu Nchemba ni field marshal?

Picha: Kumbe Mwigulu Nchemba ni field marshal?

Komando Kipensi

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Au maandalizi ya kua Amiri jeshi mku wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania Kijana anaaandaliwa..

. 1406557229273.jpg

Mwigulu nchemba akiwa na field marshal wenzake
 
Mbona UNATIA aibu sana ....yaani kuomba kupiga picha sasa Field marshal wa wapi labda Iramba na kwa mkewe
 
Hiyo TANZANIA kwenye skafu angeiandika kwenye paji la uso kwa rangi ya kijani ingependeza zaidi!
 
Siku hizi mwanasiasa akishaandikwa na magazeti kidogo nae tayari anajiona kuwa anafaa kugombea urais, nyambafu Mwigulu
 
Watu wa Arusha na Igunga wanamjua fika kuwa ni field marshal, yale mabomu na tindikali mchezo?
 
Field marshal?

whats the f***k is this?
 
Soma nyakati. Huoni ma Dr. wanavyoota kama uyoga illi upotezea umuhimu wa shule. Nahisi hatua ijayo ni ya fake field marshals, kuhalalisha matendo ya kigaidi na uharamia kwa wnanchi.

Tanzania hakuna field-Marshal!!
 
Najiuliza itakavyosound pale itakapokuwa,

Field - Marshal Nchemba,

Field - Marshal Dr. Wasira,

Field - Marshal Dr. Kinana.

Field - Marshal Dr. Riziwani

Field - Marshal Dr. Nape.

Field - Marshal Dr. Salma kikwete.

n.k
 
Back
Top Bottom