Picha: Koffi Olomide avuta ndinga mpya...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
Mwanamuziki Koffi Olomide a.k.a Mopao Mokonzi mzee wa Abracadabra ameonesha jeuri ya mpunga baada ya kuvuta ndinga matata aina ya Rolls Royce.
ubuza6y7.jpg

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
mbona gari hiyo amekuwanayo muda mwingi?
 
Anazeeka vibaya huyu jamaa yetu. Muda wa kusaidia sasa na si kutesa ili uvutie wateja.

Hamuoni Mzee wa TP Mazembe, Moise Katumbi anavyojenga Mji wake wa Katanga?

Aone aibu huyu jamaa na muda wa kufanya la maana umefika na siyo MAGARI tu.

Hapo juu anaongea kwa Kiswahili/Kifaransa na chini anaongea na CNN kwa Kiingereza.

African Voices (CNN) : Moïse Katumbi - YouTube
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naskia mwanzo alikua na rolls royce yakawaida ila phantom kavuta juzi kati.

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
Mwanamuziki Koffi Olomide a.k.a Mopao Mokonzi mzee wa Abracadabra ameonesha jeuri ya mpunga baada ya kuvuta ndinga matata aina ya Rolls Royce.
ubuza6y7.jpg

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2

Mkuu mbona hzi news za zamani kidogo? Na wadau wa Congo wanadai sio RR original ni ya kusukwa kie kie kir
 
Wewe unasema ya zamani jipya unalijua au unajisemea tuu sababu wadau wa Congo wamekwambia?
 
Mkuu mbona hzi news za zamani kidogo? Na wadau wa Congo wanadai sio RR original ni ya kusukwa kie kie kir

Inawezekana mkuu

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
Anazeeka vibaya huyu jamaa yetu. Muda wa kusaidia sasa na si kutesa ili uvutie wateja.

Hamuoni Mzee wa TP Mazembe, Moise Katumbi anavyojenga Mji wake wa Katanga?

Aone aibu huyu jamaa na muda wa kufanya la maana umefika na siyo MAGARI tu.

Hapo juu anaongea kwa Kiswahili/Kifaransa na chini anaongea na CNN kwa Kiingereza.

African Voices (CNN) : Moïse Katumbi - YouTube

Aisee huyu jamaa ni intelligent sana na ana vision. He is far better than JK. Jamaa anaongea na kuchambua mambo mpaka unabaki kumu-admire.
 
Last edited by a moderator:
Ibambasi, hata mie nimetokea kuwa Fan wake mkubwa. Huyu jamaa kwa timu ya TP Mazembe peke yake kawekeza fedha nyingi sana. Ukiacha uwanja wa mpira na timu kwa ujumla, TP Mazembe sasa ina ndege zake 3 kwa ajili ya kuwabeba wachezaje wake. Nchi nyingi sana ilibidi ziende hadi Katanga kuangalia inapotoka hii timu.

Anaongea Kiswahili cha Kikatanga haswa maana kimechanganya na Kifaransa, hahahaaa.... Kaka yake ni mfanyabiashara mkubwa sana Belgium. Yeye karudi na kuanza kufanya vitu vingi sana. Ila anasema, shule ni zaidi ya kufufua migodi ambayo mingi ilishakufa na yeye kaifufua na kuanza kutoa ajira pia iliyokuwa inafanya kazi, kawaambia wenye nayo wawalipe vizuri wafanyakazi wake....

Aisee huyu jamaa ni intelligent sana na ana vision. He is far better than JK. Jamaa anaongea na kuchambua mambo mpaka unabaki kumu-admire.
 
Last edited by a moderator:
aiseeee babayangu ile nyimbo yake mpya inaitwaje naipenda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom