Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 248
Kiwanja kipo Kivule frem 10 ( njia ya chakenge ). Unapanda gari la gongo la mboto then unashuka kituo kiitwacho Banana. Hapo banana utapanda gari ziendazo Kivule frem 10. Kutoka hapo frem 10 hadi kilipo kiwanja ni kutembea kwa mguu tu ila pia pikipiki zipo. Kwa mguu ni mwendo wa dakika 20.
Kiwanja kina upana wa miguu 11 na urefu pia ni 11. Kweli ni kidogo ila vyumba viwili na choo vinatosha na maisha yanaenda.
Maji yapo.
Umeme ndo kabisaa upo ( kwenye picha utaona nguzo ya umeme ipo jirani kabisa na eneo.
Uzuri wa huku ni kwamba, hautanunua mchanga wa kujengea. Mchanga utaupata hapa hapa kwenye shimo la choo. Maana huku ardhi ni ya changa changa.
Bei ni milioni mbili na laki mbili.
Mawasiliano 0717369162
Karibuni