Picha: Kinana aitikisa Mbeya mjini


Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Messages
1,198
Likes
12
Points
0
Age
28
Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2012
1,198 12 0
Kwa wale wakazi wa Mbeya Mnakumbuka Huu uwanja ulikuwa unaitwa uwanja wa Slaa kutokana na Mkutano wake wa 2010,lakini Leo Mwanaume amebadili jina unaitwa Uwanja wa Kinana,Mbeya Mjini hapa Rwanda Nzovwe amevunja RekodiKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni.
Maelfu ya wananchi wakaiwa wamefurika kwenye viwanja vya Ruanda Nzove kwenye mkutano huo

SOTE NI CCM: Wananchi wakimpungia mikono Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akilipiwahutubia maelfu ya wananchi katika mkutano huoNape akisisitiza jambo kwenye mkutano huo'Tanzania, Tanzaniaaaa Nakupenda kwa moyo woteee…." Nape akiimba pamoja na wananchi wimbo huo wa kuamsha ari ya uzalendo katika baada ya kuwahutubia maelfu ya watu kwenye mkutano huo.Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huoBryson Mwasimba aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, akitoa ya moyoni alipopewa fursa ya kusalimia wanancjhi kwenye mkutano huoKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wenzake wakiwa kwenye
meza kuu wakati wa mkutano huo. Meza kuu hiyo ilikuwa tofauti kabisa na
zile zlizozoeleka ambazo huwa na mapambo mengi huku zikiwa na sehemu
ya kukinga jua. Utaratibu wa majukwa na meza kuu vya aina hii ndiyo
mtindo wa sasa katika mikutano ya CCM. Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk. Norman Sigala, Kattibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya
Katibu Mkuu wa CCM, na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwapungua mikono wananchi walipokuwa wakipita barabarani wakienda kwenye mkutano huoSISI NI VIJANA WA CCM: Vijana waliokuwa kwenye mkutano huo wakipiga picha kwa simu zao ili kupata kumbukumbu.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,224
Likes
4,577
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,224 4,577 280
Mbona sura ni zile zile mikutano yote?! au wafuasi ndo wanafuata mikutano kila wilaya?
 
Johnsecond

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
1,077
Likes
7
Points
0
Johnsecond

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
1,077 7 0
wamekuwa wakitangaza ,mambo huko wakiwa huko wakiahidi ahadi zingine lipi amelitekeleza???? hamuwezi tudanganya watanzania mpaka sasa jamani mbona hamsikiii?????
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
9,881
Likes
1,290
Points
280
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
9,881 1,290 280
watanzania wanapenda matukio... hata aje mkitikila watajikusana tu.... tusubiri kipindi cha uchaguzi tujue mbivu nambichi
 
I

Imanyara

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2013
Messages
239
Likes
0
Points
0
I

Imanyara

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2013
239 0 0
watanzania wanapenda matukio... hata aje mkitikila watajikusana tu.... tusubiri kipindi cha uchaguzi tujue mbivu nambichi
Upo sawa kabisa,Watanzania kwa kuwa wengi hawana kazi hivyo hawakosi kujaa kwenye matukio.Uwingi wa watu sio ishara ya kukubalika.Hii sio kwa CCM tu bali kwa Chadema pia.

Ila naamini wananchi wa Mbeya hawatarudia kosa la kuweka mbunge wa level Sugu,naamini ata Mbeya ina watu makini wa kuweza kuwa Wabunge Makini.
 
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
2,794
Likes
99
Points
145
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
2,794 99 145
Sugu kushney!!!!
 
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
950
Likes
33
Points
45
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
950 33 45
Safi sana nimefurahi kuwaona wanambea tena ni watu wenye afya vijana na wanaonekana wasomi safi sana tunataka matukio ya ukweli kama haya tupambane kwa hoja na sio vioja, viva ccm.
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,145
Likes
1,572
Points
280
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,145 1,572 280
Walikuwa wanahutubia kuhusiana na nini?, au ili mradi tu wamesomba watu kwa malori?
 
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
950
Likes
33
Points
45
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
950 33 45
Wanambea siwalaumu kwa kumchagua sugu ila nawakubali ni wanamabadiliko walimpa waone ni nini atafanya sasa wameona kila kukicha afadhali ya jana watampa mwingine tena safi wanambea mko juuuuu.
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,145
Likes
1,572
Points
280
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,145 1,572 280
Safi sana nimefurahi kuwaona wanambea tena ni watu wenye afya vijana na wanaonekana wasomi safi sana tunataka matukio ya ukweli kama haya tupambane kwa hoja na sio vioja, viva ccm.
Mkuu, mimi nakushauri tu, hupendezi kushabikia CCM, hao CCM wameshaonyesha wazi kuwa hawana uchungu na nchi yetu,
Wanaingia mikataba ya kilaghai, wanaachia madini yetu yanasombwa, wanajilipa mamishahara makubwa ili hali mama zetu wanajifungulia sakafuni, hata vitanda tu hakuna mahospitalini, wewe kwa nini uwashabikie?

Hilo lisomali linakashfa ya kubeba meno ya tembo wetu kwenye meli zake na kutoroshea ughaibuni, CCM tuwamwage mkuu, sio watu wazuri.
 
Ngonepi

Ngonepi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
1,552
Likes
408
Points
180
Ngonepi

Ngonepi

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
1,552 408 180
Upo sawa kabisa,Watanzania kwa kuwa wengi hawana kazi hivyo hawakosi kujaa kwenye matukio.Uwingi wa watu sio ishara ya kukubalika.Hii sio kwa CCM tu bali kwa Chadema pia.

Ila naamini wananchi wa Mbeya hawatarudia kosa la kuweka mbunge wa level Sugu,naamini ata Mbeya ina watu makini wa kuweza kuwa Wabunge Makini.
Nani, jangili Kinana!! Huyu mwenye meli kabisa za kubebea meno ya tembo! Huyu huyu?
 
N

nemasisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
1,904
Likes
124
Points
160
N

nemasisi

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2012
1,904 124 160
Nilikuwepo kwenye huu mkutano akina nape kama wana akili nadhani wamegundua ugumu wa mbeya kwa upande wa ccm, make hata watu kuitikia ccm hoyee! wanaona aibu, kuna tofauti kubwa kati ya shamra za mikutano ya chadema na hii ya ccm, mwenye akili hahitaji maneno mengi waka kushawishiana nadhani kila kitu kilikuwa wazi
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,701
Likes
13
Points
135
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,701 13 135
Taswira acha kudanganya umma,watu walisombwa kwa ujira wa tsh 30,000/- kama unabisha tembelea maeneo ya kabwe,mwanjelwa walikosombwa vijana wengi kaulize utapata majibu na baada ya kutoka huko walilewa sana na kuanza kuimba nyimbo za Chadema,Chadema,Chadema peoples power!!!!! Wengi wakisema tunakula CCM tunalala Chadema.. Hao wanawake wawili mwishoni wanaopiga picha mmoja ni changudoa maarufu hapa mjini anamiliki grocery inaitwa vumilia naye ni mmoja wa waliosombwa kupelekwa mkutanoni kwa ujira wa 30,000/-
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,701
Likes
13
Points
135
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,701 13 135
Nilikuwepo kwenye huu mkutano akina nape kama wana akili nadhani wamegundua ugumu wa mbeya kwa upande wa ccm, make hata watu kuitikia ccm hoyee! wanaona aibu, kuna tofauti kubwa kati ya shamra za mikutano ya chadema na hii ya ccm, mwenye akili hahitaji maneno mengi waka kushawishiana nadhani kila kitu kilikuwa wazi
Mkuu hata mimi nilikuwepo,wengi waliohudhuria ni wale walioletwa kwa malipo. Mbeya hakunaga CCM!
 
IGUDUNG'WA

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Messages
2,044
Likes
942
Points
280
IGUDUNG'WA

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2011
2,044 942 280
@Nape anaipenda sana chadema mpaka ameamua kushona gwanda la magamba?... Viva CDM
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,993
Likes
2,019
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,993 2,019 280
Kweli Struggle for political power is by all means,ina maana game imechange au??
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,254
Likes
341
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,254 341 180
mikoa ya mbeya,arusha,kilimanjaro,mwanza
kigoma,mara walishaamka siku nyingi
hawawezi kudanganyika, hapo wamekuja kuchukua kanga kofia na pesa
kura zao chadema..
wananchi hawataki mikutanao washawachoka wamekuja kujua kama kuna kipya
msidhani wingi huo wanawasupport na wizi wenu wa pembe za ndovu ufisadi na mikataba feki.
 

Forum statistics

Threads 1,264,280
Members 486,258
Posts 30,178,893