Picha: Kinana aitikisa Mbeya mjini

Picha: Kinana aitikisa Mbeya mjini

Taswira acha kudanganya umma,watu walisombwa kwa ujira wa tsh 30,000/- kama unabisha tembelea maeneo ya kabwe,mwanjelwa walikosombwa vijana wengi kaulize utapata majibu na baada ya kutoka huko walilewa sana na kuanza kuimba nyimbo za Chadema,Chadema,Chadema peoples power!!!!! Wengi wakisema tunakula CCM tunalala Chadema.. Hao wanawake wawili mwishoni wanaopiga picha mmoja ni changudoa maarufu hapa mjini anamiliki grocery inaitwa vumilia naye ni mmoja wa waliosombwa kupelekwa mkutanoni kwa ujira wa 30,000/-

pole sana kijana najua inauma sana, lakini kazeni roho mmeze mifupa. Hizi ndizo dira za siasa. kosa la cdm ni front line yake ni mbovu sana, sasa jitu kama lile jizi la magari litaweza kuleta lipi la maendeleo. Ama yule padre aliyeshindwa kuutuliza uume wake mbele ya mungu, na akaisaliti dini kwa kudandilia bibi za watu. mtu unamdanganya mungu na hao binadamu atawafanyaje.
 
Hakuna anayeikubali CCM zaidi ya hawa mamluki mnaowatoa huko vijijini na kuwarubuni kwa elfu 5!!CCM ndio mwisho wao!acheni unafiki wa picha!!Inamaana kila mtu ni mwananchama wa CCM???Mmekwisha anzeni kuachia nchi!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ule uongo wa USA Umeuleta huku ? Hakuna CCM Mbeya bhana , na kama ningejua uzi huu kaleta Taswira Wala nisingehangaika nao .
 
Chopa ya Chadema imetunguliwa na mkulima huko mwandiga.

Mkuu Ritz
Wananchi wamechoshwa na mvuta msuba sasa wanataka maendeleo; wameona ni jinsi gani walivyopoteza muda; unajua vijana wengi wa Chadema ndani ya jukwaa ni wazururaji hawana shughuli maalumu za kimaendeleo; kijana kama Ben Saanane inabidi apitie habari za maendeleo ili akili yake ipanuke; amejikita katika habari za udaku hadi akili imedumaa.
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

baada ya kubomoa, wanawahi mlo?

attachment.php

mbona wakimaliza, vitambi vitakuwa si vitambi!
 
Mkuu Ritz
Wananchi wamechoshwa na mvuta msuba sasa wanataka maendeleo; wameona ni jinsi gani walivyopoteza muda; unajua vijana wengi wa Chadema ndani ya jukwaa ni wazururaji hawana shughuli maalumu za kimaendeleo; kijana kama Ben Saanane inabidi apitie habari za maendeleo ili akili yake ipanuke; amejikita katika habari za udaku hadi akili imedumaa.

umenena
 
Hii inakaribiana na ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Kweli Struggle for political power is by all means,ina maana game imechange au??

Hakuna lolote mnakusanya watu wa mbeya yote kuwaleta mbeya mjini ili muonekane mna watu wengi kwenye mkutano ni kujidanganya sana...
 
Mkuu labda kije chama kingine lkn sio vilivyopo sasa vyote vipo sawa havina mabadiliko tena hivi vingine vinamapungufu makubwa hakuna kitu kinahatibu amani ya nchi kama ubaguzi kweli ngoja nibaki nilipo baadae sana ntatoka nikipata mbadala wa ccm fatilia signature yangu nasisitiza sana.
Mkuu, mimi nakushauri tu, hupendezi kushabikia CCM, hao CCM wameshaonyesha wazi kuwa hawana uchungu na nchi yetu,
Wanaingia mikataba ya kilaghai, wanaachia madini yetu yanasombwa, wanajilipa mamishahara makubwa ili hali mama zetu wanajifungulia sakafuni, hata vitanda tu hakuna mahospitalini, wewe kwa nini uwashabikie?

Hilo lisomali linakashfa ya kubeba meno ya tembo wetu kwenye meli zake na kutoroshea ughaibuni, CCM tuwamwage mkuu, sio watu wazuri.
 
Hata msipoamini picha hiyo hapo tena latest sio kama za kahama za kuchongwa asante watz kwa kuelewa nini kipo mungu ibariki africa mungu ibariki tz
 
duh hapo itakuwa treni ya tazara ilisitisha safari kwaajili ya kusombelea watu
 
duh hapo itakuwa treni ya tazara ilisitisha safari kwaajili ya kusombelea watu

ninyi watu ni bure kabisa,yaani watu wakijaa mkutanoni wamesombwa,mtu akisema ukweli chadema mnamwita mamluki wa ccm,na uchaguzi ujao ccm ikishinda hamtasita kusema wamechakachua.siasa ya kweli haipo hivyo tuzikubali na kuzikabili changamnto jamani.
 
Ule uongo wa USA Umeuleta huku ? Hakuna CCM Mbeya bhana , na kama ningejua uzi huu kaleta Taswira Wala nisingehangaika nao .

Uzi hakuuleta Taswira umeletwa na wakazi wa Mbeya!
 
Last edited by a moderator:
HEKO KINANA!!!!
Kwa kuirudishia Mbeya CCM yao.
Wengine tulianza kukata tamaa na masugu wa mjini Mbeya.
Mtoa mada big up.
 
Back
Top Bottom