Picha - Kikwete mkutanoni Kampala, mambo mengi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Kikwete mkutanoni Kampala, mambo mengi!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Sep 9, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Mheshimiwa Kikwete akiwa mkutanoni Kampala - Uganda, mambo mengi kichwani, maana uongozi si lele mama. Mambo kuyaacha yaende yenyewe ni vigumu.
   
 2. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kalonzo anamuwakilisha mzee Kibaki kila sehemu, mzee wetu apewe muwakilishi anachoka sana na hizi safari.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Tatizo lake mbishi sana halafu bora angekuwa anajua kiinfereza huko kwenye mikutano..aghhh
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Unasemaje!?? labda angekuwa mwingine
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Huyu wa kwetu ni escapist, hawezi kukubali kuwakilishwa kwakuwa anakimbia matatizo ndani ya nchi!!!!!!
   
 6. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukiwa huna tishio la usalama nyumbani kwako kuna taizo gani? IGP polisi shemejio, mkuu wa majeshi mshikaji wako shuleni. Iliyobaki ni wewe kula bata tuuuuuuuuuuuu!!
   
 7. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Muwakilishi yupo isipokuwa mkuu wetu ni mbishi. Pengine hamwamini makamu wake kwamba anaweza kuwakilisha vizuri nje ya nchi. Amempa kazi ya kutumia mkasi kufungua ...........
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jakayo alikula miguu ya kuku!
   
 9. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi unajua Makamu wake alikuwa mwalimu wake pale Kibaha?
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Hapo namuona kama ameuchapa hivi au anatafakari??
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tena miguu ya kuku wa manzese wanaouzwa jioni
   
Loading...