wenyewe kwa wenyewe hampendani,mtampendaje Mungu msie muona.?
Huyo atakuwa Ponda tu kawatuma.
hajafa mpaka saivi hawa ni magaidi na tutawamaliza kimya kimya tuna safar ya kwenda kwahuyo alioko zanzibar
unyama unyamani tu walizani hatuwezi tunaweza sana tena sana
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama: Ongezeni doria katika mipaka yetu ili kuzuia uingiaji wa silaha ndogo ndogo nchini vinginevyo tutakuwa kama palestina au afuganistan!
Utata uko hapo... Ila acha tumezee manake hii thread naona zimetembea b.a.n kibao.Sijapata jibu bado, alikuwa amelala usiku wa manane akiwa kafungua mlango au dirisha? Alikuwa na bomu hilo kwake amelitunza? Sijapata jibu!
Mdunya na Kavu kuti, kumbukeni ya kwamba kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Nitaendelea kusema kweli daima kuhusu Waislam. I will call spade a spade and not a big spoon. Swali: Nijuzeni mchango wa jamii ya Kiislam katika maendeleo ya taifa letu.