Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

attachment.php

Excellent. hapo ni wapi?
 
Mwambie hivi huyo: We are the one to make or unmake our government. Hawezi kutuchagulia au kutushawishi tumchague kiongozi anayemtaka yeye, eti kwa sababu aliyemtunza huko Mbeya yupo lock up. Kila nchi ina sheria na Katiba yake, in politics we are not to be ruled by outsiders. Kama kiuchumi labda!!!!!!!

Ila misaada awape, pole!
 
Hivi hawa POLISI wanazo kweli? HAWAONI KUWA mabadiliko yanawahusu pia? KUna askari wengine wameletwa wapo hapa KURASINI tangu juzi eti wanasubiri vurugu, sio kulinda amani ni kusubiri vurugu eti, heri nilikosa uaskari maana nisingeweza huu ujinga
 
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe

Taarifa nilizopata toka kwa ndugu yangu wa Uyole anasema palikuwa hapatoshi. na ITV ameonekana jinsi alivyofunika. watu walikuwa wanakanyagana!!!!
 
Ukombozi umewadia! Chagua Dk.Slaa kwa maendeleo na Demokrasia ya kweli. Asante sana kwa picha hizo zenye mvuto!!!:smile-big:

Nimeangalia zaidi ya mara 10 hizi picha bado natamani kurudia tena na tena, siwezi kufananisha tukio la namna hii kwenye maisha yangu ukiacha la John_Paul_II pale Jangwani 1990. Hata nikiamka naumwa kesho nitakodi tolori nikapige kura nikiwa nimeshiliwa. Sauti yangu lazima isikilizwe-Maskini jeuri.
 
Hii nami nimeikubali. Jama wa sisiem wasitufanye kuwa wote tuna akili za akina makamba na Jk. waache watz waamue nani wa kuwaongoza na sio wao kujichagua na kudanganya kuwa wao wamechaguliwa. Mungu awalaani watakaoiba kura zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom