Magnificent indeed. ..kwa kweli nimeipenda hii picture. ..
Magnificent indeed. ..kwa kweli nimeipenda hii picture. ..
It's just SIMPLY THE BEST. ..ni wanaume wachache wa kiafrica kufanya hivi. ...I LIKE IT. .
Obama hapana kabisa. ..Jk ana vinasaba vya Obama.
Obama hapana kabisa. ..
Ha ha.haaaaa.Yupo humu anawaangalia tu ngoja atume malaika wazime mitandao
Watu wengine bwana!!! MnJuwa sana uchokozi.Eti ni kweli Faru John anapiga mpaka mke wake?
JK yuko juu sana kulinganisha na Obama.Mkuu huon kama wanafanana kwa jinsi wanavyowajali wake zao, yaani familia zao kwa ujumla, japo mmoja ni polygamous
Uchochezi maana yake ni nini?Uchochezi huu