Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Tehetehetehe, mkuu, hakika chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule tofauti na ilivyokuwa kalengaWatapata shida sana na huyu mama siasa siyo kuwa na tumbo na tumbo kubwa.
Mkuu siku zikifika huyu mama lazima alie sana make kazi aliyoianza itamtesa sana.Nimeipenda hiyo ya mwisho.
Watapata shida sana na huyu mama siasa siyo kuwa na tumbo na tumbo kubwa.
Huyu mama lazima arudie njia panda tena mchana kweupe kabisa wala halina ubishi hili.
Nimeipenda hiyo ya mwisho.
Tehetehetehe, mkuu, hakika chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule tofauti na ilivyokuwa kalenga
Kabisa kabisa mkuu chadema huu mziki siyo wao kabisa watahesabu lakini hesabu hazitatimia.Tehetehetehe, mkuu, hakika chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule tofauti na ilivyokuwa kalenga
Tehetehetehe, mkuu, hakika
chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule
tofauti na ilivyokuwa kalenga