Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Naona kama vile umepagawa au dili zako haziendi sawa?Umekurupuka .........ulikuwa umelala au ulikuwa unafanya nini?
Naona kama vile umepagawa au dili zako haziendi sawa?Umekurupuka .........ulikuwa umelala au ulikuwa unafanya nini?
Nasikia chopa zilikuwa zinatimua vumbi hivyo wananchi walikuwa hawaoni chademaHalafu matokeo yakitoka wanasema wameibiwa kura AU sababu nyingine mpya siku hizi wanasema DAFTARI HALIJABORESHWA!
Wamevurugwa pakubwa sana sijui watatokea wapi aibu watayopata ni zaidi ya aibu.Halafu matokeo yakitoka wanasema wameibiwa kura AU sababu nyingine mpya siku hizi wanasema DAFTARI HALIJABORESHWA!
Huyu mama lazima arudie njia panda tena mchana kweupe kabisa wala halina ubishi hili.
Nasikia chopa zilikuwa zinatimua vumbi hivyo wananchi walikuwa hawaoni chadema
Watapata shida sana na huyu mama siasa siyo kuwa na tumbo na tumbo kubwa.
Holder of Masters of Rambirambi Management.Experience:At msiba wa Mwangosi
Halafu matokeo yakitoka wanasema wameibiwa kura AU sababu nyingine mpya siku hizi wanasema DAFTARI HALIJABORESHWA!
Weka na pic za ccm tuone mnavyokubalika kalenga
Halafu matokeo yakitoka wanasema wameibiwa kura AU sababu nyingine mpya siku hizi wanasema DAFTARI HALIJABORESHWA!
Kwako Picha ndio uthibitisho wa kukubalika?