Picha: Jussa anena - 2/3 imekwama angalia mahesabu

saidi kindole

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
311
Reaction score
796
The game is over!
Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629
Tanganyika = 419
Zanzibar = 210
2/3 ya 210 = 140
1/3 ya 210 = 70
Kwa hesabu ndogo tu hapo ni kwamba kuinyima Rasimu ya Vijisenti theluthi mbili (2/3) ya Zanzibar zilitakiwa zaidi ya kura 70 (kwa maana zikipatikana 71 itakuwa hapana 2/3 ya Zanzibar).
Sasa naomba tuhesabu pamoja. Miongoni mwa wajumbe 210 wa Bunge la Katiba wanaotoka upande wa Zanzibar:
Wawakilishi wa CUF = 33
Wabunge wa CUF ZNZ = 25
Wabunge wa Chadema ZNZ = 4
Wana UKAWA walotoka ZNZ miongoni mwa 67 = 5
Walopiga wazi HAPANA jana = 7
Wajumbe wawili (Mwanasheria Mkuu wa SMZ Othman Masoud na mjumbe Abdalla Abbas) hawakupiga kura = 2
Jumla = 76
Kuinyima two thirds ya Zanzibar ilitakiwa anything above 70 out of 210.
Hapa pana 76
Kwa lugha rahisi kufahamika ni kwamba Katiba inayopendekezwa haitopita maana haikupata theluthi mbili ya Zanzibar.
Hapa hatujui matokeo ya kura zilizopigwa SIRI. Pia wapo wale waliotajwa kwamba wameorodheshwa watapiga kura wakiwa nje ya Bunge Maalum. Lakini hata ukichukulia zote zitakuwa NDIO basi haziwezi kubadilisha uhalisi na ukweli wa kitakwimu uliopo hapo juu.
Kwa kifupi ni kwamba theluthi mbili ya kura za Wajumbe wote wa Bunge la Katiba wanaotoka Zanzibar HAIPO.
Sijui wale waliolazimisha kuendelea na Bunge Maalum la Katiba bila ya kupata maridhiano ya pamoja na wakapelekea kutumika mabilioni ya fedha za walipa kodi masikini wa Tanzania huku wakijua kwamba hawatopata theluthi mbili ya kura za Wabunge wote wa Zanzibar sasa watasemaje?
CHENGE.png
 
Dodoma kulikuwa na wapiga dili tu hasa hawa mainterahamwe,, walisema hawahitaji katiba mpya toka mwanzo na ndivyo wanavyofanya hata sasa,wemeyaondoa mafungu yoteeee ya Tmk ili kuhalalisha katiba yao ya magamba
 
Huyu mpakistani Jussa anaweweseka
 
sita anatapatapa tu kwani anajua katika haipatikani. anafanya uhuni wa kulazimisha wajumbe wote wapige kura za ndio. tutaandamana...hapana chezea nguvu ya umma.
 
The game is over!
Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629
Tanganyika = 419
Zanzibar = 210
2/3 ya 210 = 140
1/3 ya 210 = 70
Kwa hesabu ndogo tu hapo ni kwamba kuinyima Rasimu ya Vijisenti theluthi mbili (2/3) ya Zanzibar zilitakiwa zaidi ya kura 70 (kwa maana zikipatikana 71 itakuwa hapana 2/3 ya Zanzibar).
Sasa naomba tuhesabu pamoja. Miongoni mwa wajumbe 210 wa Bunge la Katiba wanaotoka upande wa Zanzibar:
Wawakilishi wa CUF = 33
Wabunge wa CUF ZNZ = 25
Wabunge wa Chadema ZNZ = 4
Wana UKAWA walotoka ZNZ miongoni mwa 67 = 5
Walopiga wazi HAPANA jana = 7
Wajumbe wawili (Mwanasheria Mkuu wa SMZ Othman Masoud na mjumbe Abdalla Abbas) hawakupiga kura = 2
Jumla = 76
Kuinyima two thirds ya Zanzibar ilitakiwa anything above 70 out of 210.
Hapa pana 76
Kwa lugha rahisi kufahamika ni kwamba Katiba inayopendekezwa haitopita maana haikupata theluthi mbili ya Zanzibar.
Hapa hatujui matokeo ya kura zilizopigwa SIRI. Pia wapo wale waliotajwa kwamba wameorodheshwa watapiga kura wakiwa nje ya Bunge Maalum. Lakini hata ukichukulia zote zitakuwa NDIO basi haziwezi kubadilisha uhalisi na ukweli wa kitakwimu uliopo hapo juu.
Kwa kifupi ni kwamba theluthi mbili ya kura za Wajumbe wote wa Bunge la Katiba wanaotoka Zanzibar HAIPO.
Sijui wale waliolazimisha kuendelea na Bunge Maalum la Katiba bila ya kupata maridhiano ya pamoja na wakapelekea kutumika mabilioni ya fedha za walipa kodi masikini wa Tanzania huku wakijua kwamba hawatopata theluthi mbili ya kura za Wabunge wote wa Zanzibar sasa watasemaje?
View attachment 189512

nigeria KUNA BOKO HARAMU

DODOMA KUNA AKINA SITA HARAMU

Samahani kwa hilii hii dhamabi sijui angeipeleka wapi na ukoo wake
 
Mipango yote ya shetani haiwezi kufanikiwa ccm ni janga la taifa
 
aya bhana poleni kwa kuexcess 21 billion kwa mambo yasiyokuwa na maana badala mngejenga barabara na miundombinu mengine kama zahanati na mahospitali kwa vifo vya akina mama na watoto vimeongezea hamuoni kwamba nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini
 
Sita anatarajia kubadilisha kanuni ili ipite kwa simple majority,na kwa hiyo kura zirudiwe
 
Sasa ukombozi wa taifa umekaribia. Asante sana Samweli Sitta kwa kazi nzuri.
 
The game is over!
Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629
Tanganyika = 419
Zanzibar = 210
2/3 ya 210 = 140
1/3 ya 210 = 70
Kwa hesabu ndogo tu hapo ni kwamba kuinyima Rasimu ya Vijisenti theluthi mbili (2/3) ya Zanzibar zilitakiwa zaidi ya kura 70 (kwa maana zikipatikana 71 itakuwa hapana 2/3 ya Zanzibar).
Sasa naomba tuhesabu pamoja. Miongoni mwa wajumbe 210 wa Bunge la Katiba wanaotoka upande wa Zanzibar:
Wawakilishi wa CUF = 33
Wabunge wa CUF ZNZ = 25
Wabunge wa Chadema ZNZ = 4
Wana UKAWA walotoka ZNZ miongoni mwa 67 = 5
Walopiga wazi HAPANA jana = 7
Wajumbe wawili (Mwanasheria Mkuu wa SMZ Othman Masoud na mjumbe Abdalla Abbas) hawakupiga kura = 2
Jumla = 76
Kuinyima two thirds ya Zanzibar ilitakiwa anything above 70 out of 210.
Hapa pana 76
Kwa lugha rahisi kufahamika ni kwamba Katiba inayopendekezwa haitopita maana haikupata theluthi mbili ya Zanzibar.
Hapa hatujui matokeo ya kura zilizopigwa SIRI. Pia wapo wale waliotajwa kwamba wameorodheshwa watapiga kura wakiwa nje ya Bunge Maalum. Lakini hata ukichukulia zote zitakuwa NDIO basi haziwezi kubadilisha uhalisi na ukweli wa kitakwimu uliopo hapo juu.
Kwa kifupi ni kwamba theluthi mbili ya kura za Wajumbe wote wa Bunge la Katiba wanaotoka Zanzibar HAIPO.
Sijui wale waliolazimisha kuendelea na Bunge Maalum la Katiba bila ya kupata maridhiano ya pamoja na wakapelekea kutumika mabilioni ya fedha za walipa kodi masikini wa Tanzania huku wakijua kwamba hawatopata theluthi mbili ya kura za Wabunge wote wa Zanzibar sasa watasemaje?
View attachment 189512

Viongozi wa dini kupitia Jukwaa la wakristo walionya mapema ila Sitta akawadharua kana kwamba hajui umuhimu wao kisa uchu wa madaraka. Na haya ni matunda ya KIBRI cha Sitta kwa Mungu,nahisi mwisho wa Sitta hautakuwa mzuri kwani kazidi kulididimiza taifa kwa kuteketeza mabilioni bila sababu kisa ccm wako wengi BMK. Watu 629 hawewezi kubadili matakwa ya watu laki 3 waliotoa maoni kwenye tume ya Warioba tena hadharani. Mungu ibariki Tanzania
 
Dua la UKAWA siku zote huwapata Maintarahamwe.
 
Dua la kuku halimpati mwewe,alisema jana mzee sita.
 
Viongozi wa dini kupitia Jukwaa la wakristo walionya mapema ila Sitta akawadharua kana kwamba hajui umuhimu wao kisa uchu wa madaraka. Na haya ni matunda ya KIBRI cha Sitta kwa Mungu,nahisi mwisho wa Sitta hautakuwa mzuri kwani kazidi kulididimiza taifa kwa kuteketeza mabilioni bila sababu kisa ccm wako wengi BMK. Watu 629 hawewezi kubadili matakwa ya watu laki 3 waliotoa maoni kwenye tume ya Warioba tena hadharani. Mungu ibariki Tanzania

WAPI MAKONDA MCHUMIA TUMBO PIA WAKALA WA MAFISADi?? KAWAPONDA SANA WANAJAMII FORUM AKIDA UWA ANAKESHA NAO KT MITANDAO SIJUI LEO NINI KIMEMLAZA MAPEMA. SUBILI ADHABU PIA DAWA YENU MICCM IKO JIKONI
 
Back
Top Bottom