Picha; john myika akikusanya pesa bila maandishi au'' kitabu cha kupokelea michango ya chadema''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
attachment.php
 
kama ni kuwahurumia wananchi kuna njia nyingi za kuwasaidia wananchi sio mpaka uwe madarakani
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Chadema kama wachina; wanachukua pesa mpaka ya mtu wa chini (msikini) ili hali wamepewa pesa na sabodo na chritian democrat ya ujerumani.

Mwisho wa mkutano hajataja ni kiasi gani kakusanya papo kwa papo
 
Mwanzisha uzi kimtazamo umevurugwa, manake umesahau kabisa kuwa ukikipenda kitu kukigharimia ni kanuni.

Hapo nadhani umeona jinsi wananchi wamekikubali chadema kiasi kwamba wanaichangia wazi wazi.
 
Back
Top Bottom