|
Kaka wa rais Kikwete Selemani Kikwete akinigia wilayani kyela kwenye mazishi ya marahamu mzee mwasokwa |
|
Aliyekuwa mkuu wa mkoa mbeya Mwakipesile akiongea na mzee Mwambulukutu kwenye mazishi ya marehemu Mwasokwa |
kwani seleman kikwete alimuwakilisha rais jakaya kikwete au jakaya kikwete au familia ya mrisho kikwete? tusichanganye mambo , tusiwe wepesi kuona makosa , tukifanya hivyo ni raisi hata sisi kukosea..... picha ninayoiona mimi ni kuwa either marehemu anafahamika kwa familia ya mrisho kikwete au kwa familia ya suleman kikwete....HIVI ALI HASSAN MWINYI na MKAPA walituma Kaka zao na Dada zao kwenye DHIFA ya TAIFA kama KILIO???
Au Kaka yake PIA ni MJUMBE wa NEC-CCM?
HIVI ALI HASSAN MWINYI na MKAPA walituma Kaka zao na Dada zao kwenye DHIFA ya TAIFA kama KILIO???
Au Kaka yake PIA ni MJUMBE wa NEC-CCM?
kwani seleman kikwete alimuwakilisha rais jakaya kikwete au jakaya kikwete au familia ya mrisho kikwete? tusichanganye mambo , tusiwe wepesi kuona makosa , tukifanya hivyo ni raisi hata sisi kukosea..... picha ninayoiona mimi ni kuwa either marehemu anafahamika kwa familia ya mrisho kikwete au kwa familia ya suleman kikwete....
Nani kasema hii ni dhifa ya kitaifa? Kwa minajili gani hii ni dhifa ya kitaifa?
Kwa nini JK kama Jakaya asiweze kuwakilishwa na kaka yake? Unajuaje kama JK hakuwa na mahusiano ya binafsi na marehemu hata kabla ya kuwa rais na hapa anarehemu kwa minajili hiyo kuendeleza ukaribu wa familia ya Kikwete na familia ya marehemu kwenye wakati huu mgumu?
Shughuli za KITAIFA ziwe ni KILIO au SHEREHE zinaitwa DHIFA>>>>
sielewi unataka kuzungumza nini. nimekwambia kuwa ninachokiona hapo ni mahusiano binafsi ya kifamilia na si vinginevyo. sasa habari kusema JK amemtuma kaka yake ni kosa?.wangeandika raisi amemtuma kaka yake ni sawa hapo tungesema ni walakini. JK ni jakaya kikwete, sioni tafsiri nyingine ya JK au wewe kwako JK inasimama kwa maneno gani?. jakaya kutumana na ndugu yake ktk mambo yao binafsi isiwe mjadala kwetu wananchi... haswa ikiwa hawavunji sheria za nchi. niambie kwa uelewa wako ni ishara gani imeonyesha kuwa taasisi yetu ya uraisi iliwakilishwa na kaka wa mkuu wa hiyo taasisi kwenye mazishi ya afisa mstaafu wa usalama wa taifa?. tusimame ktk ukweli tukiongeza chumvi kwa ukweli tunafanya hata ukweli mdogo tulio nao ukatiwa walakini
Ndio Maana Rais akamtuma kaka YAKE? Basi wasingesema JK amemtuma Kaka yake... Wangeweka KICHWA cha HABARI KINGINE... Kiswahili KIPANA... NA NI BORA zaidi ya HIVYO ILIVYOANDIKWA!!!