Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

Hii inatufundisha ubabe hauna maana yoyote hapa duniani.. Wote tutarudi kwa Mola hivyo sio vizuri kunyanyasa wengine kwa madaraka uliyo nayo.. Siku ya mwisho utajibu mashtaka yako na kuwajibika hakuna hata member mmoja wa chama chako atakayekutetea na kukupigia makofi.. Tujifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…